Unapenda mboga gani ya majani?

Nyendo

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,194
4,112
Mboga za majani ni muhimu sana kwa afya. Tunashauriwa kula mboga za majani kila siku.

Binafsi napenda kula mboga za majani na mboga zangu pendwa ni tembele, chainizi, majani ya maboga na kisamvu.

Tupe zako na ukiweza na jinsi ya kuziandaa.

1620908398506.png
 
Mboga majani nyingi nazipenda
Mchicha
Chinese
Majani ya maboga
Figiri
Tembele

ila napenda zipikwe bila maviungo mengi Mfano napenda zipigwe mafuta kitunguu maji na karot tuu
 
Back
Top Bottom