Jukwaa la Mapishi

Mijadala mbalimbali ya wanajamii inayohusiana na mapishi
Habari wapendwa wa JamiiForums. Naomba mwenye elimu ya kutengeneza barafu na juice ya matunda mchanganyo wa nanasi ndizi na parachichi aweze kunisaidia, email yangu ni yasinijawadu@gmail.com...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habarini za saa hizi wandugu? Leo nilienda kununua nyama ya ng'ombe buchani yapata robo kilo kutokana na mlaji niko peke yangu getto. Maajabu ni kuwa nilianza kuchemsha kwa jiko la gas mida ya...
2 Reactions
30 Replies
4K Views
MAMBO TISA UNAYOWEZA KUFANYA KATIKA CHAKULA CHAKO KAMA MAMBO YAMEENDA NDIVYO SIVYO 1.Chumvi ikizidi kwenye mchuzi menya kiazi mviringo weka kwenye chakula unachopika, acha ichemke chumvi...
13 Reactions
17 Replies
4K Views
Habari wakuu. Ningependa kujua bei za sare za chef na aina zake. Ukituma na picha nitashukuru
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimechoka kula wali ugali ndizi tambi nk nimeamua kujaribu vyakula vipya kabisa vitakavyonipa ladha mpya. Nimeanza na majongoo Yale makubwa meusi. Nitayala kwa mfumo wa kuyakaanga kwenye mafuta...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Hivi ni kweli kwamba kiporo cha chakula hakina faida yoyote mwilini? Kinakua ni km makapi tu? Je, hakina virutubisho vyovyote?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa wale wenzangu na mimi tuliowahi kunywa chai ya kuunguza sukari kama majani ya chai tukutane hapa. Chai ile ilikuwa inatengenezwa kwa kuchukua Sukari unaiweka kwenye sufuria iliyopo motoni...
32 Reactions
137 Replies
21K Views
Habari! Naomba kusaidiwa kujua aina ya vyakula ambavyo vinadumu tumboni hasa wakati wa mfungo! Mfano nikila hicho kitu saa11 asubuhi sitosikia njaa kali mpaka saa1 usiku. Tafadhali naomba...
2 Reactions
50 Replies
8K Views
The saying must be true: “The Chinese eat everything that has four legs, except tables and chairs, and everything that flies except planes.” However, the State and federal health officials have...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Wakuu, Nimefungua mgahawa hivi karibuni na miongoni mwa huduma ninazohitaji kutoa ni pamoja na Al-kasusi. Mwenye kufahamu naomba anifahamishe.
3 Reactions
23 Replies
16K Views
Wakuu salamu, Kama mnavyojua jiji la Dodoma linakua kwa kasi ya 4 G, linapokea wageni kila siku iitwayo leo, naomba tutaje mahali bomba panapo ongoza kutoa huduma bomba na classic za dinner na...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Ukiwa unataka kufungua restaurant au mgahawa. Unatakiwa uwe na ujuzi wa vyakula vya aina gani? Vile vile ni vyakula vipi ni pendea sana na vinaleta wateja?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari za asubuhi wana Jf,natumai mmeamka salama na mkiwa mnajiandaa kuingia kwenye harakati za utaftaji kwa lengo la kupata chochote kitu,Na Mungu akawafungulie milango ya baraka.Bila kusahau uzi...
5 Reactions
13 Replies
3K Views
Naomba kujuzwa namna ya kuandaa hili tunda kwaajili ya juice, na pia vitu naweza kuchanganya katika hiyo juice. Asanteni
1 Reactions
23 Replies
10K Views
Ni kwanini wanaume mnaichukia kabichi? Skukuu yote hii nilitamani niwafukuze hawa wageni. Asilimia kubwa wote waliiponda kabichi, Mwingine anaita Minyoo hiyo Mimi silagi. Mwingine Nani ale...
15 Reactions
182 Replies
17K Views
Taja mboga za asili zisizo pungua 2 na zisizozidi 3 (za ukanda wenu huko) Wale waliokuwaga "geti kali" mtupishe kidogo 😂 Naanza mimi; Mlenda Nsasa Lets go!!
4 Reactions
168 Replies
17K Views
Ebana huu ni uzi kwa wale ambao appetite zetu zipo juu muda wote yani tumbo likiona karanga linaweka, likikaa kidogo chips mayai, baada ya muda kidogo tunatupia utumbo yani ali mradi tumbo lipo...
5 Reactions
23 Replies
9K Views
Habari wakuu, Natafuta mwalimu wa kike anayejua kufundisha kupamba keki kwa Dar es Salaam. Unaweza ukajibu uzi huu au kunitumia meseji.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom