Mikoa ambayo Wanawake wanafahamu kupika Chakula na mikoa mbayo wanawake hawafahamu kupika Chakula kizuri ni hii hapa...

Arovera

JF-Expert Member
Nov 19, 2013
10,979
28,502
Wakuu.
Nimetembelea mikoa mbalimbali katika harakati za kusaka maisha lakini kama mnavofahamu mikoa mingi kuna tamaduni tofauti za mapishi
Kuna mikoa chakula unaweza kula ukaona ladha ya chakula japo ni kwa mama ntilie lakini chakula kitamu na mikoa mingine imejaa laana bin balaa yaani ukila chakula utahisi hadi kuugua homa ya manjano.
A: Mikoa Wanayojitahidi Kupika vizuri
1. Tanga
2. Pwani
3.Lindi
4. Mtwara
5.Dodoma
6. Morogoro
7. Mwanza
8. Kigoma maeneo ya Ujiji
9. Dar Es Salaam.
10. Tabora.
Ifuatayo ni Mikoa yenye laana bin balaa sijui hua wanaloweka au maana chakula asilimia kubwa hakina ladha kabisa.

B:Mikoa hiyo ni Kama Ifuatavo
1. Mara
2.Arusha
3.Manyara
4.Singida
5.Ruvuma
6. Rukwa
7. Katavi
8. Iringa
9. Mbeya
10.Njombe
11.Geita
12. Simiyu
13.Kagera/Bukoba
14. Kilimanjaro.
Huo ni utafiti mdogo kabisa sijui wanatatizo gani
 
Ubora wa mapishi hutegemea kwa asilimia kubwa asili ya mtu. Mapishi pia huweza kutofautiana kati ya sehemu moja na nyingine kadri ya asili ya sehemu husika. Sijui umeviangalia hivyo kwenye utafiti wako ?
 
Hapo kwenye laana bin balaaa

Well, japo si rasmi ila utafiti wako mdogo una ukweli ndani yake, ngoja walengwa wa hiyo list ya mwisho waje, hakutotosha hapa.

Mkuu hiyo Laana Bin Balaa imekua balaa kweli kweli ngoja tusubiri tuone watakuja namba gani
 
Wakuu.
Nimetembelea mikoa mbalimbali katika harakati za kusaka maisha lakini kama mnavofahamu mikoa mingi kuna tamaduni tofauti za mapishi
Kuna mikoa chakula unaweza kula ukaona ladha ya chakula japo ni kwa mama ntilie lakini chakula kitamu na mikoa mingine imejaa laana bin balaa yaani ukila chakula utahisi hadi kuugua homa ya manjano.
A: Mikoa Wanayojitahidi Kupika vizuri
1. Tanga
2. Pwani
3.Lindi
4. Mtwara
5.Dodoma
6. Morogoro
7. Mwanza
8. Kigoma maeneo ya Ujiji
9. Dar Es Salaam.
10. Tabora.
Ifuatayo ni Mikoa yenye laana bin balaa sijui hua wanaloweka au maana chakula asilimia kubwa hakina ladha kabisa.

B:Mikoa hiyo ni Kama Ifuatavo
1. Mara
2.Arusha
3.Manyara
4.Singida
5.Ruvuma
6. Rukwa
7. Katavi
8. Iringa
9. Mbeya
10.Njombe
11.Geita
12. Simiyu
13.Kagera/Bukoba
14. Kilimanjaro.
Huo ni utafiti mdogo kabisa sijui wanatatizo gani
Nilijua tu
 
Hiyo mikoa yenye kupika vizuri watu wake wamefaidika nini tofauti na hiyo mingine yenye kupika ili mradi viive.
nadhani kupika kila mtu ana asili ya mapishi yake na upishi kulingana na chakula kinachopatikana kwenye mazingira yake msukuma wa shinyanga anajuaje kupika kwa nazi wakati amezoea Samli!?. Mathalani ukichunguza anaosema hawajui kupika utakuta kuna chakula cha asili yao utachokipenda ndio maana utaona kuna restaurant za mataifa mbalimbali ambayo hupika chakula cha asili yao kama ethiopian thailand na mengineo hivyo huwezi sema watu flani hawajui kwa kuwa hawajui kupika chakula ambacho kwao ni cha mapokeo mimi kilimanjaro wananikosha kwa mtori,
 
Back
Top Bottom