Vyakula vya asili vya mikoa yetu

imeldaB

Member
Joined
Aug 23, 2019
Messages
10
Points
45

imeldaB

Member
Joined Aug 23, 2019
10 45
Habari zenu? muda huu nmejikuta nakumbuka chakula cha kijijini kwetu. Mimi ni mwenyeji wa Mkoa wa Singida na nikiendaga kwetu napikiwa ugali wa mtama mweupe, "nsans'a" hii ni majani ya kunde yaliyokaushwa kwenye jua na baadae yanapikwa na bila kusahau nyama, kwetu tunapenda nyama balaa. Ningependa kujua mikoa mingine na vyakula vyao vya asili.
 
Nazjaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Messages
6,155
Points
2,000

Nazjaz

JF-Expert Member
Joined Jan 20, 2011
6,155 2,000
Habari zenu? muda huu nmejikuta nakumbuka chakula cha kijijini kwetu. mi ni mwenyeji wa Mkoa wa Singida na nikiendaga kwetu napikiwa ugali wa mtama mweupe, "nsans'a" hii ni majani ya kunde yaliyokaushwa kwenye jua na baadae yanapikwa na bila kusahau nyama, kwetu tunapenda nyama balaa. Ningependa kujua mikoa mingine na vyakula vyao vya asili.
Mnakula hadi punda waliokufa, sina hamu na nyie
 
Kingsmann

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Messages
1,758
Points
2,000

Kingsmann

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2018
1,758 2,000
Habari zenu? muda huu nmejikuta nakumbuka chakula cha kijijini kwetu. mi ni mwenyeji wa Mkoa wa Singida na nikiendaga kwetu napikiwa ugali wa mtama mweupe, "nsans'a" hii ni majani ya kunde yaliyokaushwa kwenye jua na baadae yanapikwa na bila kusahau nyama, kwetu tunapenda nyama balaa. Ningependa kujua mikoa mingine na vyakula vyao vya asili.
Habari yakho muncha.

Mantu khina ayai alombe inoo.

IMG_20181203_143312.jpegUnforgetable
 
Forum statistics

Threads 1,344,249
Members 515,354
Posts 32,812,639
Top