Wakuu napenda kupata hata ka ujuzi kwenye ukangaji wa vibanzi yaani chipsi.
Naomba kujua ya fuatayo:-
1. Kiloba cha ndoo 4 kinauwezo wa kutoa sahani ngapi za vibanzi(chipsi).
(Hata kama unajua...
Mahitaji:
1- Bamia kilo 1
2- Nyanya 2
3- Nsusa
4- Ntwili
5- Kitunguu 1
6- Magadi
Namna ya kupika katakata bamia nyanya na vitunguu vichemshe huku unachanganya na magadi baada ya hapo weka ntwili...
Wapishi wa humu nawasalimu.
Napenda sana kula boga, ila upishi wangu unanikatisha tamaa, nikinunua boga kwenye migahawa huwa nakula linakua zuri linakua na unga unga kama kiazi kitamu.
Ishu sasa...
Wakuu hivi yale mafridge ya mtumba tunayouziwa pale Magomeni traventina na yale ya dukani Kariakoo yapi bora hata umeme ukikatika na yapi yanadumu kwa uimara.
Wasalaam,
Mimi bwana huwa napikia wali kwenye Rice Cooker lakini juzi nimeenda kumtembelea dada moja ni Mzenji wali wake kwenye mkaa na wakati unapikwa nikasikia harufu ile nzuri nzuri kabisa.
Na...
Habari marafiki zangu wapendwa?
Mimi naomba kujua jinsi nitakavyopika ugali wa mahindi, pia mboga zinazofaa (kama vile mchuzi wa nyama au biringani za kukaanga). Mimi ni mpishi mpya, lakini...
Nataka kuchoma nyama kwa ajili ya Familia lakin sijui pa kuanzia. Nadhan nikipata majibu ya maswali yangu ntajua cha kufanya.
A). Sehemu gani ya nyama ya ng'ombe ni tamu kwa kuichoma? Ili...
Friji hutumika kuhifadhi vyakula vya aina mbalimbali ili visiharibike mapema. Friji ikitumiwa vyema husaidia sana katika uhifadhi wa vyakula lakini isipotumiwa vizuri huweza kusababisha hasara na...
Luwaki Coffee;
Hii ni kahawa pendwa zaidi unapata ile radha haswaa ya kahawa.
Hutumika zaidi nchi za baridi na restaurant kubwa,
Wapenzi wa kahawa tafuteni hii ndio kahawa bora zaidi duniani...
MAMBO 10 YA KUZINGATIA KATIKA USAFI WA JIKO LAKO.
1. Hakikisha unasafisha jiko lako mara kwa mara kabla na kila baada ya kumaliza kupika. Usafi uwe wakina,futa sehemu zote kutoa vumbi na wakati...
Nimekaa na kujiuliza kwa nini huyu mnyama pendwa Nguruwe a.k.a mbuzi katoliki a.k.a kitimoto hapikwi supu mtaani kama ilivyo kwa ng'ombe ,mbuzi na wanyama wengine?
KiTiMoTo, na Ijumaa hii, upate alafu isikauke sana kuwe na ugali fulani unga wa kuloweka, kama itawezekana upate na maziwa mgando yasiwe makali sana, then kwa kuwa inajitegemea mafuta basi ukipata...
Habari ya leo wapenda kula mapocho pocho wenzangu.
Hivi kati ya kiporo cha wali na maharage/ wali ndondo na kiporo cha wali kisamvu (cha nazi au karanga) kipi kitamu?
Yaani nimeona niulize...
Wakuu.
Nimetembelea mikoa mbalimbali katika harakati za kusaka maisha lakini kama mnavofahamu mikoa mingi kuna tamaduni tofauti za mapishi
Kuna mikoa chakula unaweza kula ukaona ladha ya chakula...
Ndugu zangu wenyeji wa Dar, ivh ni sehemu gani nzuri ambayo wanauza vyakula vitamu vitam kipenzi cha wengi. Sometimes mm naona ni vzur kubadili mazingira. Bei haijalishi
Habari zenu?
Muda huu nmejikuta nakumbuka chakula cha kijijini kwetu. Mimi ni mwenyeji wa Mkoa wa Singida na nikiendaga kwetu napikiwa ugali wa mtama mweupe, "nsans'a" hii ni majani ya kunde...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.