1. Haki ya nani
Watu wamekuwa wakiapiza Sana kutumia haya maneno. Nimezoea sana kusikia watu wakiapiza kwa maneno ya yanayohusisha Mungu mfano " haki ya Mungu naapa, Maasafu ya Mtume, Yesu Kristu...
Aliyependekeza kukumbushana lugha ya Kifaransa nakuunga mkono, inawezekana maana tupo wengi ila tunakuwa dormant kwa kutoitumia lugha yenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
MUME AMEKUIBIA
Mama Joti! Mama Joti!, hebu njoo mara moja
Wala usije na kiti, naharaka sitangoja
Tena uvae thabiti, ukatazame vihoja
Mwivi uliyemfuga, mume amekuibia.
Niliyoyaona huko...
Katika hali ya kushangaza mwandishi wa habari wa gazeti la msema kweli ameshindwa kutofautisha matumizi sahihi ya neno AJUZA mpaka kafikia kumwita mwanaume mzee Ajuza. Hii inaonyesha ni jinsi gani...
Huwa nasikia watangazaji wa mpira wakisema Mkwaju wa penalti.
Mkwaju ni nini? Na hivyo kuna mikwaju ya nini na nini.
Karibuni wataalam wa Kiswahili.
Sent using Jamii Forums mobile app
KIINGEREZA SI LUGHA YETU
__________________
Kumbukumbu zinanirudisha zaidi ya miaka 10 nyuma tukiwa kwenye vimbweta vya Tegeta High school na wanangu Mdax, DVd pamoja na kizazi tukikata topic ya...
Pesa ina majina mengi sana ya Mtaani wewe Unatumia Lipi,
Mi natumia (FUBA).
Mfano:
"Yule mwana Ana FUBA za kutosha"
Cc Zero iq
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumia Kiswahili kuonesha utata wa Lugha.
- Ni kwa vipi Lugha imekuwa gumzo kutokana na baadhi ya maneno kuingiliana, kufanana au kukosekana.
- Au ni vipi watumiaji wa lugha walivyo kuwa na...
Wakati fulani hapa JF watu husema kusoma si kuelimika, hivi tofauti ya Elimu na usomi ni nini. Unawezaje kutofautisha msomi ambaye hajaelimika na mtu aliyeelimika lakini ambaye si msomi?
Mara nyingi nisomapo makala ndefu za Kiswahili sikosi kukutana na angalau neno moja la Kiswahili linaloonekana kuwa jipya kwangu. At the same time, the same article may contain a few familiar...
Wabongo wengi tumezoea kumuita Nairobi Fly, mara ya kwanza kujua kuna mdudu kama huyu ilikuwa mwaka 2005 nikiwa A level. Niliposikia wanamuita Nairobi Fly nikajua kuwa ni wadudu wenye asili ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.