General B.
Member
- May 18, 2011
- 17
- 0
Profession ni kitu gani?
Na nini anayeitwa professional?
Na nini anayeitwa professional?
Ni sahihi.Huwa nawasikia wasomi wengi wakisema;mfano, "Mimi ni engineer by professional au mimi ni mwalimu by professional au mimi/yule ni daktari by professional" huwa najiuliza ni sahihi kweli kusema hivyo??? Au usahihi ni kusema Mimi ni fulani"by profession"??? Au vyote si sahihi???
Hebu tuwekane sawa jamanii usahihi ni upi...??
Kusema "Mimi ni mpishi by professional"??
Unaweza kuwa mwalimu but not professionally, kila mtu anaweza kuwa mwalimu but hajawa wakitaaluma, au unaweza kuwa fundi hodari inborn tuseme kama kipawa tu ila hujawa professional yani hujasomea to acquire that knowledge professionally, kwa uelewa wangu ndiyo hivyo, ndiyo maana wanajinasibu kuweka by professionalHuwa nawasikia wasomi wengi wakisema;mfano, "Mimi ni engineer by professional au mimi ni mwalimu by professional au mimi/yule ni daktari by professional" huwa najiuliza ni sahihi kweli kusema hivyo??? Au usahihi ni kusema Mimi ni fulani"by profession"??? Au vyote si sahihi???
Hebu tuwekane sawa jamanii usahihi ni upi...??
Kusema "Mimi ni mpishi by professional"??
Mhmhh huyo mwalimu wako alikulisha tango poli, hii ndiyo kasumba ya walimu wanaofundisha kwa kukariri, haipo hivyo ndugu, pitia hoja zilizotangulia utagundua kipi ni kipiNa kipindi nakua na hata baadhi ya walimu wangu wa elimu ya juu walikuwa wanasema professions zipo tatu tu duniani
1. Doctors
2. Lawyers
3. Engineers
Hiyo imekaaje apo?
Hakuna mwalimu by professional hapa TanzaniaHuwa nawasikia wasomi wengi wakisema;mfano, "Mimi ni engineer by professional au mimi ni mwalimu by professional au mimi/yule ni daktari by professional" huwa najiuliza ni sahihi kweli kusema hivyo??? Au usahihi ni kusema Mimi ni fulani"by profession"??? Au vyote si sahihi???
Hebu tuwekane sawa jamanii usahihi ni upi...??