Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
#UNAAMBIWA Kwenye kamusi ya Kiswahili kuna neno “korona” ambalo tafsiri yake ni kinu cha kukoboa, kusafisha na kutoa kamba za mkonge. [emoji848] Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
3K Views
THERE IS NO STOP. Inside a shabby room man in oily shorts is seen singing but...
0 Reactions
1 Replies
794 Views
Wakuu hamjambo, msaada wenu kwa hili swali Naomba msaada wenu juu ya swali hili, kama mjuavyo kingereza ni nyama ya tembo, hivyo kwa Mimi peke yangu nimeshindwa kupata muafaka wa lipi ni jibu...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Tumemsikia mzee Mwinyi akisemanana mhusudu JPM. Mimi nikifikiri kuhusudu ni kupenda kunako ambatana na matamanio. Bungeni tunasikia maombi ya kutuepusha na husda. Hapa ni kama kummind mtu kwa nia...
0 Reactions
8 Replies
27K Views
Rubani mmoja alipata ajali ya ndege ndogo na kuangukia kwenye kijiji asichokielewa. Alipoteza fahamu kwa dakika kadhaa, alipozinduka hakujua alizimia muda gani na wakati ule yalikuwa majira gani...
3 Reactions
11 Replies
3K Views
Ni vitabu gani vya lugha ya Kiswahili ulivyovisoma vilivyobadilisha namna yako ya kufikiri na kubadili maisha yako kiujumla?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kiswahili ni lugha inayozungumzwa na mamilioni ya watu katika Afrika na kote duniani. Ingawa Kiswahili kimeonekana kupanda chati na kuonekana kuzidi kushika kasi leo, lakini lugha hii ilshapata...
13 Reactions
57 Replies
13K Views
Nzi kala Tunda kwa Masihara kwa muda wa saa mbili. Bado niko hapa nasubiri nigundue kitu natupia na picha/video za kutosha. Nzi dume hawezi mpata jike mpaka atongoze, nzi dume huwa anatoa...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Nimekuja Muscat Oman and i wonder jinsi Kiswahili kilivyo enea hapa Oman. People speak Swahili like they don't mean nothing. Interestingly Kuna waoman wamezaliwa Oman.wamekulia Oman na hawajawahi...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Nilikuwa nasikiliza BBC SWAHILI leo ninamsikia Mtangazaji Ann Ngugi anatumia hilo neno, cha ajabu hata Wenzake, akiwemo Mbelechi wa Congo wametumia jina/neno 'wenye ulemavu wa ngozi' au Albino...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
MACHINGA ni msemo wa kiswahili unaowakilisha wafanya biashara wadogo wadogo ambao hufanya biashara kwa kuweka bidhaa zao kandokando ya barabara au hata sokoni. neno MACHINGA limechukuliwa kutoka...
1 Reactions
13 Replies
12K Views
Haya ni maneno matatu ambayo hufanya kazi moja. Kazi kuu ya maneno haya ni kuongeza maelezo ya ziada katika jambo. Hutoa taarifa ya ziada au kukazia taarifa ya awali. Katika jamii kuna mazoea ya...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Je, mzazi wako unaweza kumuita mlezi wako? Naomba michango yenu wadau kwani naamini hapa ndipo kisima cha fikira na michango hai katika hiyo hoja. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
880 Views
Nakigwaga giki u-gabitaga u-ng'wenumu m-JF! Kwandya solo nakugishe nkulu'one ng'wanoshimba, Mlimhola ahakaya bagheshi? Niza lulu ndug'wane giki. Bananzengo ba Tanzania bagalamula giki ubize...
3 Reactions
73 Replies
14K Views
Ya’raabi nipe kauli, niseme hili na lile, Kauli isiyo kali, isiwe kama ya yule, Niseme lililo kweli, la mbuni hawa na wale, Mbuni kichwa mchangani, kwanini mbuni habuni? Mbuni wana ile hali, hali...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nimeorodhesha tabia mbalimbali za makabila yetu ili kuangalia ni wapi tumekosea na tujirekebishe ili kuondoa sura yetu mbaya machoni kwa jamii. Hapa kila mtu akiikana nafsi yake na kuikataa tabia...
7 Reactions
181 Replies
76K Views
kama elimu bahari, makasia yako wapi? jahazi za kifahari, dereva twapata wapi? ataendesha kwa shari, kweli tutafika wapi? bahari ikitulia, chombo kitarudi pwani. mengi majahazi yapo, kwa majina...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kumbe ndoto Naona Afrika, yatoka gizani Nuru ikiwaka, tokea angani Tukinawirika, hadi mashavuni Ghafla nashituka, he ! kumbe ni ndoto. Tunafaidika, toka migodini Yazidi uzika, yetu madini Miji...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Samahani wazee Nikitaka kusema "Juma agawa pesa kwa Wanawake" Nasemaje? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nawaza nawazua Kama ni fumbo fumbua Ila Kitendawili tegua Twenti twenti ilishawadia Uchaguzi watunyemelea Siasa yaanza kukolea Yatupasa vijana kuingia Huu muda si wa kuzodoa Taifa linatutegemea...
0 Reactions
1 Replies
956 Views
Back
Top Bottom