Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
kujua lugha mbalimbali ni moja wapo ya njia ya kuongeza thamani ya ulichonacho kwa mfano wapo watu wenye elimu ndogo tu ambao kujua lgha fulani imewafanya kupata kipato maradufu nakualika...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
This is a special platform where we can learn how to improve our english skills in terms of speaking, writing, listening and reading. In this thread also we are going to learn how to eliminates...
11 Reactions
133 Replies
18K Views
HAYA SIYO MAISHA. Watu wanatengana, eti kisa ni pesa Fukara wanapigana, sababu ni siasa Hovyo wanagombana, damu wakiinusa Roho kuchukiana, pendo tukalikosa Sidhani Kama hivi, haya siyo maisha...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Yanga imetokana na Young?, Kwanini "Young" ya Kiingereza haikuwa "Vijana" kwa Kiswahili? Yanga ni kitu gani? Ni kukosea? Ni kutokujua? Ni sahihi kuita timu ya Dar es Salaam Young Afrika kwa jina...
2 Reactions
63 Replies
13K Views
SIKU HIYO IKIFIKA Siku hiyo njema kwangu, Mateso tapumzika Takutana mola wangu, Moyo utafurahika Tapata lo haki yangu, Dunia lo dhulumika SIKU HIYO IKIFIKA, HAKI ZANGU TAZIPATA Wale kwao nilo...
0 Reactions
0 Replies
938 Views
Wengi wamekuwa wakisoma Biblia ya Kiswahili bila ya kufahamu hasa ni nani alioandika Biblia kwa lugha ya Kiswahili kutoka katika moja ya lugha zile tatu za mwanzo mwanzo ambao ndizo zilizotumika...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Walipo ipata mali, wakaingia mjini Wakamtupa jalali, jembe na wake mpini Wakaponda zote mali, na warembo limbukeni Wakachana daftari, kupoteza taarifa Walikula na kusaza, wakaota na vitambi Meza...
0 Reactions
0 Replies
840 Views
Naomba nielekezwe kitabu hicho kinapopatikana wadau. kuna zawadi kwa atakaenielekeza mahali kinapatkana hapa Dar
0 Reactions
4 Replies
9K Views
NA MOHAMMED ABDULRAHMAN Kiswahili ni lugha inayozungumzwa katika kanda ya Afrika Mashariki kuanzia Somalia hadi Msumbiji na ni lugha ya mawasiliano kwa sehemu kubwa ya kanda hiyo. Tanzania ndiyo...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
BARIDI YA MOROGORO HAINA ADABU 1. Ya moyoni ninayo, mengi kujaza kapu Yaani tena yahusuyo, baridi iumizayo pafu Baridi adabu hamnayo, nawapa yake makavu Baridi ya Morogoro, kweli...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Hello members, nataka kufanya mtihani wa Kiingereza IELTS kabla mwaka huu, naomba ushauri kwa yeyote mwenye uzoefu na hii mitihani. Vilevile nitafurahi nikipata members ambao wamewahi fanya hii...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Pale JNIA Terminal 2 niliona tangazo lenye sura ya waziri wetu wa utalii. Tangazo hili lina slides 2, ya Kiswahili na ya Kiingereza. Ya Kiswahili imeandikwa “Simba ni Utalii”, ya Kiingereza...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari zenu wadau. Nilikuwa naomba msaada wa uhakiki wa maneno yaliyotumika katika kutayarisha Shahada hii. Shahada hii ni Hati ya Shukrani kwa ajili ya kuthamini mchango wa wanajumuiya wetu...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani wakati tunakua tulikuwa tuna ganilwa nahau na methali mbalimbali za kisukuma na bibi na babu zetu, hata sisi wenyewe wakati tunachunga tulikuwa na mchezo wa kugani methali na mwingine...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Halo JF, Kumekuwa na matumizi mabaya ya neno "Angalau" kunakopigiwa upatu na radio za kimataifa za BBC, DW, VOA nk. Wenyewe wamehamisha moja kwa moja kutoka lugha ya Kiingereza "Atleast"...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Hivi neno "kutuzi" lina maana gani? Je, chanzo chake ni kipi? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Ni moja ya mada zinazochanganya sana. Baadhi ya sifa za virai ni kwamba hazina muundo wa kiima na kiarifu. Ndani ya kirai kunaweza kuwa na kirai kingine ndani yake. Mfano "watoto wanacheza kwenye...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Leo nakamata ungo,tuone mtarukaje So kwamba ninamsongo,hii ni toroka uje Umetimia mpango,pona yenu bora mje Nimejipanga kuloga,muiteni baba yenu. Mlinirusha kilinge,enzi za mababu wenu Nasema na...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Naomba kujuzwa zaidi katika nyanja zifuatazo pindi unapoandika nukuu za kikao Lugha ya nyakati gani Mfano wa vipengele gani vyakujumuishwa
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom