Nani alianzisha msemo huu "Maamuma Mzungu wa Reli"

Mtini

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
1,371
2,000
Nimetafakari nikatamani kujua nani alileta msemo huu "MAAMUMA MZUNGU WA RELI". Na alimaanisha nini hasa?
 

mng'ato

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
28,626
2,000
Wanaume wa dar.

Wa huku mkoani wameanzisha ule msemo wa 'kwa hio nitupie ndani au?'

dodge
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom