Sifa mbaya za makabila yetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sifa mbaya za makabila yetu

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Bujibuji, Mar 31, 2010.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Mar 31, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,289
  Likes Received: 22,055
  Trophy Points: 280
  Nimeorodhesha tabia mbalimbali za makabila yetu ili kuangalia ni wapi tumekosea na tujirekebishe ili kuondoa sura yetu mbaya machoni kwa jamii.
  Hapa kila mtu akiikana nafsi yake na kuikataa tabia (inayoakisi sifa ya kabila lake) tutapata jamii safi isiyo na taswira mbaya na makabila yetu yote yataheshimika.
  Nia ya bandiko hili si kutusi wala kukejeli kabila lolote ndio maana hata wewe unaruhusiwa kuweka kile unachokiona kwenye makabila mengine.

  1. Wachagga-wezi
  2. Wafipa-wachawi
  3. Wazaramo- majungu
  4. Wanyakyusa- ukabila, umalaya na kujisifu
  5. Wahehe- kujinyonga
  6. Wakurya- ukatili
  7. Wajaluo- roho mbaya
  9. Wahaya- umaalaya, kujisifu na kujisikia.
  10. Wanyiha- wauaji
  11. Wakinga- wachawi
  12. Wasukuma - wachawi
   
 2. K

  Kabonde JF-Expert Member

  #2
  Mar 31, 2010
  Joined: Aug 12, 2008
  Messages: 421
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kwenye nyekundu tuko pamoja.
   
 3. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #3
  Mar 31, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Jamani mmetoa wapi hii maneno mbofu mbofu :D
   
 4. T

  Thadeus JF-Expert Member

  #4
  Mar 31, 2010
  Joined: Nov 24, 2007
  Messages: 267
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Kwa Wahaya nakubali hilo la kujisifu. Ila hilo la umalaya nina wasiwasi. Labda tupate kwanza "operational definition" ya "umalaya"
   
 5. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #5
  Mar 31, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,768
  Likes Received: 217
  Trophy Points: 160
  Wamakua na Wamakonde - "Somo kunyima ntu huku kitu unacho baaa...wakati we umepewa buree..."
   
 6. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #6
  Mar 31, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  kama hii alishusha boss some time ago
   
 7. T

  The_Analyst JF-Expert Member

  #7
  Apr 10, 2010
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 214
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  INGEKUWA VIZURI ZAIDI UKATUWEKEA NA SIFA NZURI ZA HAYO MAKABILA...

  ......~~Dont be in the captivity of negativity~~......
   
 8. vukani

  vukani JF-Expert Member

  #8
  Apr 11, 2010
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 245
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Wapare-Ubahili
   
 9. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #9
  Apr 11, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  mbinu za kuendeleza ukabila na kubaguana. tabia hizo zote kila mwanadamu yeyote
  hata wale ambao si makabila ya kiafrica, warabu, wahindi, wazungu wanazo tu
  kwa vile ni mambo yanayomhusu kila mwanadam kwa namna zake
   
 10. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #10
  Apr 11, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,813
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Mmh afadhali Mimi Mtanzania nisiyekuwa na kabila
   
 11. kuti kavu

  kuti kavu Member

  #11
  Apr 11, 2010
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 68
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  Swali langu ni "Je kwa wale waliochanganya makabila je?"...kwa mfano baba ni mchanganyiko wa kihaya na kichaga, mama ni mchanganyiko wa kifipa na kikurya....mtoto atakuwa ni mchanganyiko wa "Kihaya,kichaga,kifipa na kikurya"......nipe ripoti hapo......LORD!!!!!
   
 12. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #12
  Apr 11, 2010
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,353
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Wapogoro vipi?
   
 13. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #13
  Apr 12, 2010
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,256
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135  Wapare sio wabahili tu mpaka wanashika chupi mukononi yaani ukiomba usitegemee kunyimwa
   
 14. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #14
  Apr 13, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  My God!!!
   
 15. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #15
  Apr 13, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Du mkuu hapo sikubaliani na wewe, kama uchawi basi ni makabila yote tu ni wachawi, lakini mbona wajomba zangu
  ni watu poa tu!
   
 16. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #16
  Apr 13, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  haya yote yanatoka na nchi kuwa ya kikabila kabila, tungekuwa wamoja kama nchi nyingine za nje haya yacingekuwepo
   
 17. N

  Natasha Ismail JF-Expert Member

  #17
  Apr 13, 2010
  Joined: Jul 14, 2008
  Messages: 511
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 60
  1. Wachagga-wezi
  2. Wafipa-wachawi
  3. Wazaramo- majungu
  4. Wanyakyusa- ukabila, umalaya na kujisifu
  5. Wahehe- kujinyonga??????? how?
  6. Wakurya- ukatili
  7. Wajaluo- roho mbaya
  9. Wahaya- umaalaya, kujisifu na kujisikia.
  10. Wanyiha- wauaji
  11. Wakinga- wachawi????how?
  12. Wasukuma - wachawi ????? si kweli
   
 18. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #18
  Apr 13, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Katavi utakuwa umeguswa pole Jamani
   
 19. R

  Renegade JF-Expert Member

  #19
  Apr 13, 2010
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 3,765
  Likes Received: 1,067
  Trophy Points: 280
  Walevi.
   
 20. T

  Tall JF-Expert Member

  #20
  Apr 13, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  duuuuh eeeeeh hii kali.
   
Loading...