TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,471
- 28,335
Nikikosea kuzungumza lugha ya Kiingereza sisikitiki wala kuona aibu. Lakini nikikosea kuzungumza kiswahili au lugha ya kabila langu kwa kuzaliwa natamani ardhi ipasuke na kunimeza kwa ajiri ya masikitiko na aibu. Wewe huwa unajisikiaje ukikosea kiingereza?