Nikiiripotia TBC,,,,,

KakaJambazi

JF-Expert Member
Jun 5, 2009
18,697
12,039
Wakuu nadhani huyu mtangazaji wa TBC1, Emanuel Amas huwa anakosea pale anaposema "Nikiiripotia TBC1,,mimi ni Emanuel Amasi", iwapo yeye ni mwajiriwa na si kanjanja tu wa kukodi.

Kama huwa anakodishwa tu na TBC na wakati mwingine anairipotia CNN,aljazeera etc, sina ukakasi katika hilo, ama la sivyo mi sijui kiswahili.
 
Jamaa yuko fiti kwa kuripoti,,kama vp Uongozi wa TBC1 umwajiri.

Yaani ni kama vle hataki kuji-comit kwamba ni yeye ndo aliyerepoti. Yeye anairipotia tu TBC1,,lolote likitokea (mf habari kama itakua ya uongo) asilaumiwe.
 
Kwa maana nyingine ni kwamba,,yeye huwa anapewa habari airipotie TBC1,,huenda huko aliko hakuna mtangazaji anayeweza kazi iyo.

mi si mtalamu wa lugha lakin nadhani hayuko sihih kwan ukisema nikiripotia tbc1 maana anaiambi tbc na si watazamaji
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom