Ninapata utata kuelewa kiswahili kinakuwa au kinaharibika? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ninapata utata kuelewa kiswahili kinakuwa au kinaharibika?

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by MUREFU, Jan 11, 2011.

 1. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #1
  Jan 11, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  wanaJF ninaomba 2saidiane unajua ninashndwa kuelewa wap 2napoelekea mana kila kukicha ninaona kiswahili ama lugha sijui niseme inakuwa ama kuharibika mana kila siku maneno mapya tena yenye maana(Utata) kibao na zisizo na maana yanatumika mfano tigo lilikuwa na ninavyojua ni jina la kampun ya simu lakn lina2mika vsivyo je huu ni uharibifu au ukuwaj wa lugha? Na pia kunadhana ya kufupisha lugha kila kukicha ninakutana na tabia hii na ninasikia hata kwny public radio au tv wanazi2mia mfano neno BWANA naona wanaita BANA na mengne meng je hv 2napoelekea huko kiswahil kitakuwa kinaitwaje au 2tatumiaje?
   
 2. sheri

  sheri Member

  #2
  Feb 3, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hiyo michakato uliyotaja ndio inayofanya kukuwa kwa lugha........neno la kiswahili haliwezi kusanifshwa kabla ya kutumika, unless kuwe na uhitaji wa haraka wa neno hilo, na ndipo maneno ya mkopo na utohoaji hutokea
   
Loading...