Kupenda chini!!?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kupenda chini!!??

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by ldd, Dec 5, 2011.

 1. ldd

  ldd JF-Expert Member

  #1
  Dec 5, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 794
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  eti ugonjwa wakupenda chini ndo ngoma????
   
 2. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #2
  Dec 8, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,332
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  kwa uzoefu wangu wa maneno ya mtaani nadhani kupenda chini maana yake kupenda kufanya ngono na si ngoma/ukimwi. upo hapo?
   
 3. kvelia

  kvelia JF-Expert Member

  #3
  Dec 8, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 247
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Dawa ni wewe mwenyewe, usiruhusu mawazo ya ngono akilini mwako sana, ukiona yanakuja jariku kuwa busy na kitu chochote, pia jitahidi kufanya mazoezi ya viungo kila siku. Heshimu maandiko matakatifu kama ni kanisani/msikitini hudhuria maandiko hayaruhusu kabisa kufanya ndono na mtu asiekuwwa mme/mke wako. Kama umri unakuruhusu oa/olewa maana ni vizuri kuchagua kuadhirika kwa sababu ya ngono au kusubiri ili mipango yako ikamilike.
   
 4. NEW NOEL

  NEW NOEL JF-Expert Member

  #4
  Dec 8, 2011
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 837
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 60
  Ukiwa na hofu ya Mungu na imani haya yote utayaona.
   
 5. M

  MASIKITIKO JF-Expert Member

  #5
  Dec 8, 2011
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 842
  Likes Received: 203
  Trophy Points: 60
  Mwambie DR Aikate
   
 6. ldd

  ldd JF-Expert Member

  #6
  Dec 8, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 794
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Atakufanya hamna mpaka uoe?
   
 7. ldd

  ldd JF-Expert Member

  #7
  Dec 8, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 794
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  ntakutafuta nione yakwako ilivyokatwa then dr aigilize!
   
Loading...