Wasomi wa lugha niambie hii kuna tofauti gani kati ya haya maneno naweka chini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wasomi wa lugha niambie hii kuna tofauti gani kati ya haya maneno naweka chini

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by MziziMkavu, Dec 6, 2011.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Dec 6, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Wakuu habari zenu nauliza swali langu kuna tofauti gani kati ya haya maneno ya kiingereza Mtu kusema hili neno (I love you) au kutumia neno hili (I like you) nawaomba munijuze Wakuu.........
   
 2. L

  Luminous black Member

  #2
  Dec 6, 2011
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I luv u- huambiwa au hutumika kuonesha penzi la dhati lililo na mguso wa kipekee moyoni.

  I lyk u- hutumika kuonesha umeridhika na mtu, yeyote tu, kwa kitu alicho nacho au jambo alilofanya. Mbali kabisa na msukumo wa kimapenzi.
   
 3. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #3
  Dec 6, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Kwani ikiwa wewe ni mwanamme unakutana na Girl kwa mara ya kwanza unatakiwa umwambie neno gani kati ya hayo mawili I love you au I like you? Lipi mkuu unaliona linapendeza kumwambia mchumba kwa mara ya kwanza unapo kutana nae kumtongoza? ?
   
 4. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #4
  Dec 6, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,813
  Likes Received: 83,188
  Trophy Points: 280
  Mkuu MM, It depends on how you feel about that girl....lakini kukutana mara ya kwanza na kuanza kwa gia kubwa ya "I love you" Mhhhh! inahitaji moyo!!! machale yanaweza kumcheza mrembo akaingia mitini.
   
 5. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #5
  Dec 6, 2011
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,933
  Likes Received: 2,085
  Trophy Points: 280
  'I like you' inaweza kufaa zaidi kuliko 'I love you'. Ingawa kama ni kwa kuanzia nisingekushauri kutumia sentensi hizo! Kama kuna kitu fulani anacho au amefanya unaweza kusema unakipenda kitu hicho (I love/like your .......!, I love/like the way you....! etc) kama hatua ya mwanzo kuonesha kwamba unam-feel.

  Btw, hivi kutongoza bado ni kazi ngumu kiasi hiki?
   
 6. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #6
  Dec 6, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Mkuu yaani wewe huwa unatongozaga kwa kizungu?
   
 7. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #7
  Dec 6, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Ni kweli kwa mara ya kwanza tu ukutane haswa na Mwanamke wa kizungu Eti umwambie neno hili (I love you) atashangaa sana na kukuliza kwanini unanipenda na wakati hunijuwi mimi? inavyotakikana Umwambie ( I like you) ningependa uwe Rafiki yangu

  unasemaje? Lakini umwambie mimi nina kupenda atakukimbia na kuwa mbali sana na wewe . Kwa Dada zetu wa Kiafrika unaweza kutumia hilo neno la (I love you) kwa dada zetu akalikubali kwa moyo mmoja tena kwa furaha ndanimyake ikiwa na yey alikuwa nalingojea hilo neno useme.

  Kumtongoza Mwanamke wa Kizungu ni kazi ngumu kuliko Kumtongoza Mwanamke wa kiafrika haswa Mwanamke wa ki tanzania unaweza kumwambia Tu (I love you) na yeye ikiwa anakupenda atakujibu ( I love you too) lakini neno hilo hilo,

  Kumwambia Mwanamke wa kizungu Eti I love you atashangaa sana kwanini unamwambia hilo neno Zito kwake? Neno Love ni Uhusiano wa ndani baina ya Mwanamke na Mwanamme kimpenzi tunaweza kusema ni Uhusiano wa Sex ,Ndoa, uhusiano baina ya watu wawili walipo kitandani wanaocheza mpira wao peke yao Mwamuzi wao ni kitanda ninafikiri unanielewa mkuu.

  Mkuu inanibidi huku nilipo nitongoze kwa lugha ya kizungu sipo mimi Tanzania nipo nje mkuu nilifundishwa kutongoza kwa njia ya chat mnamo miaka ya 1992 nimefundishwa na Marafiki zangu Wa Ki Nigeria ni hodari kwa kutongoza watu weupe kwa njia ya internet Chat Mkuu Kumtongoza Mzungu kazi kubwa kuliko kumtongoza Mwanamke Mweusi .

  Love


  Love is an emotion of strong affection and personal attachment.[SUP][1][/SUP] In philosophical context, love is a virtue representing all of human kindness,compassion, and affection. Love is central to many religions, as in the Christian phrase, "God is love" or Agape in the Canonical gospels.[SUP][2][/SUP] Love may also be described as actions towards others (or oneself) based on compassion, or as actions towards others based on affection.[SUP][3][/SUP]
  In English, love refers to a variety of different feelings, states, and attitudes, ranging from pleasure ("I loved that meal") to interpersonal attraction ("I love my partner"). "Love" may refer specifically to the passionate desire and intimacy of romantic love, to the sexual love of eros, to the emotional closeness of familial love, or the platonic love that defines friendship,[SUP][4][/SUP] to the profound oneness or devotion of religious love.[SUP][5][/SUP] This diversity of uses and meanings, combined with the complexity of the feelings involved, makes love unusually difficult to consistently define, even compared to other emotional states.
  Love in its various forms acts as a major facilitator of interpersonal relationships and, owing to its central psychological importance, is one of the most common themes in the creative arts.[SUP][6][/SUP]
  Love may be understood as part of the survival instinct, a function keep human beings together against menaces and to facilitate the continuation of the species.[SUP][7]

  [​IMG] [/SUP]

  [TABLE="class: vertical-navbox nowraplinks plainlist, width: 1"]
  [TR]
  [TD]Part of a series on[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TH]Love[/TH]
  [/TR]
  [TR]
  [TD][​IMG]
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]
  Basic aspects[show]
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]
  Historically[show]
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]
  Types of emotion[show]
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]
  See also
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 8. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #8
  Dec 6, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Mkuu mbona na mimi nipo huku tangu enzi za Mchonga (1983) lakini sijakutana na hayo usemayo?
   
 9. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #9
  Dec 7, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Umesha wahi Kumtongoza Mwanamke wa Kizungu wewe?ukikutana nae kwa mara ya kwanza utamuambiaje Mwanamke wa kizungu? Kama unamtaka kwa kiingereza?
   
 10. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #10
  Dec 7, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Duhu, aisee vipi Mkuu? Yaani unategemea kukaa kwangu huku karibia miaka 30 sina uzoefu sio? Halafu sio wazungu wote wanazungumza kiingereza kwa hiyo sio lazima kutumia hayo maneno katika kutongoza!
   
 11. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #11
  Dec 7, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mzizi Mkavu, naamini wewe sio mzungu, utakua wewe ni mwafrika mtanzania (sipendi neno mweusi for some reasons). Kwa hiyo ni rahisi kwako kuzungumza na mwanamke mwafrica mtanzania mwenzio, tena kwa kutumia lugha la kiswahili. Mzungu na mzungu mwenzie wataona pia ni rahisi kutongozana.
  Na hata katika waafrika watanzania, ukiwa unafanya kazi ofisini, sio rahisi kwako kumtongoza mwanamke wa nyumbani kama ilivo wakati unamtongoza mwanamke anae fanya kazi. Ukiwa makamu sio rahisi kumtongoza mtoto etc.
  So sio swala la rangi ya ngozi, sio swala la lugha, ni swala la "sphere" . je wewe na huyo mtu mko "sphere" moja?
  Unaweza kutana na Mwafrika, mtanzania ila ikawa ngumu kumtongoza kama "sphere" yake na yako sio moja.
   
 12. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #12
  Dec 7, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Love sio kama "instant coffee" (labda ila sidhani), kwa kukutana na binti kwa mara ya kwanza; well, uta-like kwanza then stage inayofuatia ni love!
   
Loading...