Nimeona nianzishe uzi wenye mada za kufikirisha katika maandishi na kudadavua maana ya maandishi yenyewe. Kwa kuanza naanza na mada ya njaa.
Ni nadra kutokukubali kuwa kuna uhaba wa njaa...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29, ninaipenda sana nchi yangu na vitu vake vilivyomo. Ninajisifu kwa kuwa na nchi yenye lugha yake yenyewe tofauti na nchi zingine zilizo kubali kurith lugha...
Waziri magufuli alisema "watakaoshindwa kulipa nauli ya kivuko wapige mbizi kueleke upande wa pili" .
Alikosea! Maana ya kupiga mbizi ni kuzamia majini (kizungu'dive').
Neno sahihi ni kuogelea...
Leo nimempata Ngeleja akisoma hotuba, aibu. embu soma zikiza hii.. the the the the..... Lawrence Masha (waziri mambo ya ndani) yuko juu sana kwenye kiingereza
5. Opening speaker Minister William...
Wanajamvi imebidi niulize maana katika jukwaa letu hili kila mara naona neno masaburi linatumika sana lakini bahati mbaya nimekuwa nikilielewa kutokana na jinsi lilivyotumika. Leo katika mada moja...
Wana JF naombeni msaada...ni neno gani sahihi?
a) I would like to congratulate you for this great achievement.
b) I would like to congratulate you on this great achievement.
Wana jamvi,haya maneno yananitatiza!
Je mnyama wa kulinda nyumba ni "mbwa" au "mmbwa"?
yule mdudu anaeneza Malaria ni "mbu" au mmbu?
Unapotoka ndani unaenda "nje"au "nnje"?
Msaada tafadhali!
Published On: Mon, Jan 2nd, 2012
Tanzania |
ETS representative, Kuda Nhiwatiwa
Tanzanians wishing to work abroad will now easily sit for a world recognised English language proficiency test...
Hamjambo wanaJF wote? Leo naomba wale wadau/wakereketwa wa lugha ya kiswahili mnisaidie hili. Kuna tangazo moja la biashara linanipa shida sana. Tangazo hilo linatolewa kwa kiingereza, halafu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.