malaya wa kimalaya!!!

Ze burner

JF-Expert Member
Jan 5, 2011
514
83
ninavyofahamu mimi neno malaya (prostitute) NI mpenda ngono zembe. Wamalaysia pia wanaitwa malaya. sasa wataalam naomba msaada ni sahihii kwa malaya wa kimalaysia kumwita malaya wa kimalaya or malaya prostitute? au huwa tunafanya nini maneno mawili au zaidi yanapokutana kama hivi?
 
Ilo neno Malaya linatamkwa Mu'ley-u
Malayan = Mu'ley-un
Malay = Mu'ley
Malaysia = Mu'ley-zhu

Lugha yao ni Malayalam = Ma-lu'ya-lum
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom