Tija na ufanisi ni nini ?

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,937
1,437
Wanajamvi.
Maneno haya kwa kimombo nadnai ni effective na effincieny. Lengo la uzi huu ni kuleta mjadala na changamo ya kueleta uzi huu ni
  • kuyafafaua kwa mifano hai tunayoona , tunayotumia au wanayotumia baadhi ya watu na taasisi
  • tuelimshane nini tofauti na uhusiano wa haya maneno yaani tija na ufanisi
  • katika vitendo( kazini , ofisini, kiwandani) ni kipi kinatakiwa kupewa umuhimu zaidi ya kingine. au balansi inapatikana vipi.

Nawasilisha
 
tija ------------ ufanisi
effectiveness --------- efficiency
kufikia malengo ---------------- kwa ufanisi (using little resource, ie time, money, and other materia resources etc)
katika ulimwengu wa sasa vyote viwili ni vya kupewa kipaumbele coz kufikia malengo pekee haitoshi ila iendane na kufikia malengo kwa kutumia mali ghafi chache. ie little resources - high outcomes.
 
Wakuu aksanteni twendeni kwa mifano hai. Naanza na mfan mmoja
  • maofisa wa serikali wanapotomuia VX kutoka masaki mikocheni kwenda posta na wakiulizwa wanatoa sababu za kutumia magall yale zile sababu zinazotolewa ni za tija au ufanisi.
ze burner said:
.....kufikia malengo ---------------- kwa ufanisi (using little resource, ie time, money, and other materia resources etc)
haya maneno nayasikia sana yanaongelewa na hata na mawaziri lakini tunaweza kupata mfano hai kivipi wanatambua kuwa kuna uhaba wa resources
 
tunaposema hii kazi haina tija means haina haijafikia malengo au haina faida. kutembelea vx kunaleta tija coz lengo ni kufika mahala husika kama kazini au kwa wananchi. kunaleta ufanisi coz unafika mahala kwa wakati muafaka. ie. short time, bila ya machofu etc. (put in considaration that other things remain constant). huwezi kuwa na ufanisi kwa 0 ie utumie fedha kidogo, wakati kidogo, rasilimali watu kidogo na kila kitu kidogo. bali kinachofanyika ni opportunity cost. you have to forgo something for the other thing. best wishez
 
Back
Top Bottom