Tungo zenye utata!!!!!!!!!!!!!!!!

Jakubumba

JF-Expert Member
Mar 5, 2011
1,624
500
1.mtoto amelalia maziwa.
>mtoto kalala juu ya maziwa.
>mtoto amekunywa maziwa kama mlo wake wa usiku.

2.shangazi ametuletea mbuzi.
>shangazi kaleta mbuzi mnyama
>shangazi kaleta kifaa cha kukunia nazi kinaitwa mbuzi

3. J.....aya ametuibia nchi.
> ameiiba tanzania na kuondoka nayo
>ameiba mali zilizomo tanzania.

4.ben ametufanya kondoo
>beni ametufananisha na kondoo wanyama
>ben anatuona wajinga kama kondoo
 
umenikumbusha mbali
popo kapita
<popo ndege aruakae
<popo mmegaji alafu unatangaza
 
>>Jamaa anajua kusimamia show
1. Jamaa ni muandaaji mzuri wa show fulan (mf. ya muziki) na show huwa zinaenda vizuri
2. Jamaa ni anajua kummega mpenzi wake
3. Jamaa hana matatizo kwenye masuala ya kulipa bili za kuzungusha round baa
 
Back
Top Bottom