Kuchanganya lugha zaidi ya moja ni usomi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuchanganya lugha zaidi ya moja ni usomi

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Geam, Nov 20, 2011.

 1. G

  Geam Member

  #1
  Nov 20, 2011
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Habari wadau,!..
   
 2. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #2
  Nov 20, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Ni usomi eeee?

  kwa nini unafikiri hivyo?
   
 3. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #3
  Nov 22, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  1. Iko otomatiki kama unazifahamu zote
  2. Kujisikia, dalili kuwa biya zimekolea, ....
  3. Usomi uliotukuka
   
 4. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #4
  Nov 26, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Sifikirii kama ni usomi bali ni kutaka uonekane msomi. Hii tabia kusema kweli inanikera hasa kwa watunga sheria wetu.

  Kuchanganya lugha mara nyingi inatokea pale Mswahili anapozungumza Kiswahili na Waswahili wenzake, mara anatometomea maneno ya Kiingereza (tena kibovu au bombastic words) aonekane msomi. Kwa nini mtu huyu huyu akizungumza na Waingereza au Wazungu wengine hachanganyi na Kiswahili chake?
   
 5. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #5
  Nov 27, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Duhu, hapa naona ni mahala pagumu. Wacha niondoke haraka!
   
 6. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #6
  Nov 27, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Nadhani wapo baadhi ya watu wanaoshikilia hiyo dhana. Na pia wapo wale wanaohusisha Kiingereza na ustaarabu na hadhi fulani ya kimaisha.

  Ni moja ya athari za kasumba za ukoloni.
   
 7. p

  pansophy JF-Expert Member

  #7
  Nov 27, 2011
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 300
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Nikiongea kimakua na Kiswahili nikiwa kijijini hakuna anayetahamaki, ikitokea nikichanganya Kiswahili na English baadhi ya wadau wanaanza kuzozomoka. Hii kitu inatokea na nahisi ni ngumu kujizuia
   
 8. m

  maselef JF-Expert Member

  #8
  Nov 27, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 255
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Inatikea automatically hasa ukiwa umelewa
   
 9. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #9
  Nov 27, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Ha ha ha hahahah...lol. Kweli pombe balaa
   
 10. p

  pansophy JF-Expert Member

  #10
  Nov 27, 2011
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 300
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Ulabu ukikubali kiswahili kinapaa yaani ni ung'eng'e kwenda mbele
   
Loading...