Kwa wanaotafuta kazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa wanaotafuta kazi

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Aqua, Sep 15, 2012.

 1. Aqua

  Aqua JF-Expert Member

  #1
  Sep 15, 2012
  Joined: Jul 23, 2012
  Messages: 1,299
  Likes Received: 418
  Trophy Points: 180
  Habari wana jamvi la lugha,kuna kitu nimekiona kwa mtu mmoja akitafuta kazi na ningependa kushare.

  Katika kuandika barua ya kuomba kazi kwa kiingereza ni tatizo kwa wengi,baadhi ya mapungufu niliyoona ni grammatical error kwa mfano:
  "I am interesting to work with you" badala ya "I am interested to work with you".English yake ndiyo hiyo then kwenye CV anaandika "English excellent spoken and writing".Huu ni mfano tu ila naamini kuna mengi labda kama kuna unalolijua unaweza weka hapa jamvini ili tusaidiane.Point yangu hapa unapoandika barua au e-mail ya kuomba kazi jitahidi grammar iwe safi tafuta hata mtu aipitie kabla ya kutuma.(proof reading)

  Tatizo jingine mtu anatumia vifupisho vya maneno kwa mfano unaomba kazi kama Tutorial assitant,kwenye sehemu ya subject kwenye e-mail anaandika "apllication for TA.."au kama ni Finance officer anaandika "Application for FO ..".Hapa kama watu walioomba ni wengi na ndiyo khali halisi kwa sasa wengi wanatafuta kazi wewe utaonekana hauko serious na kazi hiyo unayoomba au ulizima moto.
  Tatizo jingine ni "capitalization of words,wakati najifunza communication skills, ukiandika neno kwa herufi kubwa kama si kichwa cha habari inamaanisha "unatukana au unapaza sauti".Sasa watu wanaandika say jina la kazi anayoomba katikati ya paragraph kwa helufi kubwa akizani litaonekana vizuri kumbe anaonyesha ana poor writing skills pasipo kujua."I would like to work with you as FINANCE OFFICER ...."

  Ushauri kama unaweza kupata software ya kuuanganisha soft copy zako za vyeti in pdf kuwa file moja ni nzuri kuliko kuwa na pdf files tatu za academic records,O-level,A-level na chuo.Hii itasaidia anayepokea asihangaike kuviweka pamoja.Jameni "First impression si tu kwenye interview inaanza kabla ya interview".
  The way I see it.Thanks


  "There is no such a thing as a foolish question there are foolish answers".
   
 2. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #2
  Sep 15, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Ushauri mzuri sana
   
 3. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #3
  Sep 17, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Ushauri hauna maana huu.
   
 4. Aqua

  Aqua JF-Expert Member

  #4
  Sep 17, 2012
  Joined: Jul 23, 2012
  Messages: 1,299
  Likes Received: 418
  Trophy Points: 180
  You are too general can you be more specific?Ningependa nijifunze kutoka kwako,tunaelimishana no one knows everything.
   
 5. morphine

  morphine JF-Expert Member

  #5
  Sep 18, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 2,566
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  :blah: :blabla:
   
Loading...