Mtoto ameamka AMEKUFA. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtoto ameamka AMEKUFA.

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Sikonge, Sep 17, 2012.

 1. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #1
  Sep 17, 2012
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,489
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Haya ni maneno ya dada mmoja sasa hivi LIVE kwenye TV.

  Ila siyo Tanzania maana nilikuwa naangalia kwa kutumia KARAI.

  Hiki KIZAZI kipya kwa kweli KINACHEMSHA SANA.

  Mtoto ataamkaje AMEKUFA?????
   
 2. morphine

  morphine JF-Expert Member

  #2
  Sep 18, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 2,551
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  hahaha channel ya inchi gani hiyo mkuu :laugh:
   
 3. awp

  awp JF-Expert Member

  #3
  Sep 18, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,715
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kafa usingizini, (au alitaka kusema aliamka akacheza theni baadae akafa)
   
 4. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #4
  Sep 18, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,586
  Likes Received: 767
  Trophy Points: 280
  ni kweli kuna shida mahali, lakini katika hali ya kawaida si inaeleweka?
   
 5. morphine

  morphine JF-Expert Member

  #5
  Sep 18, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 2,551
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  hahaha channel ya inchi gani hiyo asee :laugh:
   
 6. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #6
  Sep 18, 2012
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,489
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Ahhh, Chanel moja ya nchini Czech Republic, ila sijui ni mji gani.

  Kaunga, ni kweli inaeleweka ila wanachekesha sana wakati mwingine. Inanikumbusha enzi za utoto unaandika barua kwa kibinti cha watu "kulala silali, nakuota wewe kila siku." Au mambo ya USA, ya kumpa mtu LAST MEAL wakati masaa machache baadaye WATAMUUWA.
   
 7. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #7
  Sep 18, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,586
  Likes Received: 767
  Trophy Points: 280
  Very contradictory eeh, BTW how did nswalu came up; you should get nsansa pia.
  My favorite ni futari ya maboga, viazi, mihogo na karanga kwa wingi; l love it ikiwa kiporo!
   
 8. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #8
  Sep 18, 2012
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,489
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Nsansa pia ninazo ila kidogo sana. Wazee wa kuzitengeneza wanaisha kwa sasa huko Tabora, too sad.

  Ila kuna jamaa wameanza kuzitengeneza kwa ajili ya biashara, labda zinaendelea kuwepo.

  Nswalu naona italiwa JUMAPILI. Maziwa yangu ya mtindi (mbowoto) lazima yawepo pembeni.

  Nitakuwa kwa afya zenu wote pia. Vagisye kukaya.
   
 9. shejele

  shejele Senior Member

  #9
  Sep 18, 2012
  Joined: Aug 5, 2008
  Messages: 140
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Swali kidogo, hiyo chanel ya nchini Czech Republic wanaongea kwa lugha yao? Kama ndio basi kiongozi nimekuvulia kofia, hadi kicheki unakimanya....

  Lugha zinasumbua hizi wajameni..ameamka AMEKUFA tena?
   
Loading...