Kuchambwa au kuchamba
naona linatumika mno na kina mama hasa kwenye mipasho
je ni neno sahihi nje ya toilet?
na usahihi na maadili yake kutumika ukoje?
Morning JF People na wakereketwa woote
Jamani, as u know JF is not only the home of great thinkers kama mm but pia ni kituo cha kupata maarifa na kujifunza mambo mbali mbali..sasa mm nimeamua...
Nimezamishwa kinani, kwenye lindi la huzuni,
pakushika sipaoni, mwenzenu ni simanzini,
Nina uchungu moyoni,limenikuta jamani,
Umenipata msiba.
Mwana kukuza nyumbani, na vyuoni masomoni...
Napenda kufahamu kinyume cha neno "Dhaifu".Kisha mnisaidie kutaja nani kati ya marais awamu zote ni dhaifu zaidi.Kuanzia wa kwanza kwa udhaifu hadi wa mwisho ambae atakuwa na jina ambalo ni...
haya maneno hutumika sana, lakini neno moja halina maana nzuri,
sasa nikukaribishe wewe JF member unisaidie Mazingira ambayo naweza kutumia haya maneno.
THE MERRY WIVES OF WINDSOR (HERI WANAWAKE WA WINDSOR)
Performed in Swahili by Bitter Pill from Nairobi, Kenya.
(with scene description in English)
TAZAMA VIDEO NZIMA HAPA: Shakespeare: Globe to...
Heshima mbele wakuu.
Nimeamua kupitia huku leo baada ya kutatizwa na haya maneno ambayo machoni pa wengi yanatumika tu ila binafsi naona kasoro zifuatazo.
Taasisi ya kukusanya kodi Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.