Msaada wa kutafsiri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa kutafsiri

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Mama Mwamba, Oct 18, 2012.

 1. M

  Mama Mwamba Member

  #1
  Oct 18, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kuchoreka
  kushoboka
  maunguli (wa filamu)

  Na pia eti kuna gari TZ linaitwa Skylet/Scarlet?

  Asanteni! :)
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  kuchoreka ni sawa na kusema 'kumtazama mtu huku yeye hajijui kuwa anatazamwa
  au ku enjoy kumtazama mtu huku yeye haoni au yuko aware kuwa anatazamwa


  kushoboka noi sawa na 'kupapatikia' au kujipendekeza...
  nguli, ni sawa na kusema 'mahiri'
  kwa hiyo manguli wa filam ,ni sawa na kusema waigizaji 'mahiri' au 'wakubwa' wa filam...

  hiyo gari ni toyota starlet......
   
Loading...