lukindo
JF-Expert Member
- Mar 20, 2010
- 8,466
- 9,028
Heshima mbele wakuu.
Nimeamua kupitia huku leo baada ya kutatizwa na haya maneno ambayo machoni pa wengi yanatumika tu ila binafsi naona kasoro zifuatazo.
Taasisi ya kukusanya kodi Tanzania inaitwa TANZANIA REVENUE AUTHORITY ambapo kwa tafsiri nyepesi ya Kiswahili fasaha yaweza kuwa "MAMLAKA YA USHURU TANZANIA".
Kwa Kiingereza hiki cha sasa inabidi isomeke "TANZANIA INCOME AUTHORITY – yaani Mamlaka ya Mapato Tanzania" ili kuleta maana halisi.
Naleta hoja hii hapa jamvini ili kuweza kutofautisha haya maneno kati ya ‘USHURU' na ‘MAPATO'. Haya ni maneno mawili tofauti ambapo hata hapo TRA yenyewe hivi ni vitengo viwili tofauti vilivyo na makamishina tofauti pia.
Naombeni mwanga zaidi.
Nawasilisha