Jifunze kisomali...part one

Mar 13, 2012
52
12
Morning JF People na wakereketwa woote

Jamani, as u know JF is not only the home of great thinkers kama mm but pia ni kituo cha kupata maarifa na kujifunza mambo mbali mbali..sasa mm nimeamua nijtolee kutoa darasa la lugha ya kisomali..off course its a plus because, for most of us kwenye CV zetu kwenye part ya language tunaweka lugha mbili (Kiswahili + Englis) ingiwa hiyo mtua ataandika he/she is fluent in English but when it comes to express himself/herself huwa tunambwela...lol...turudi kwenye maada, nitakua natoa tafsiri mbali mbali za lugha ya kisomali kwa kiswahili. The main topics zitahusu

1. Mapenzi ( Vocabulary za Malavi davi)

2.Vyakula

3. Biashara

4. Na memgineyo

Natambua vizuri wengi humu wamekaa kimapenzi mapenzi, sasa nitaazana na vocubalries za mapenzi...attention please!!!

1. Waankujeelahay...Nakupenda

2.Wankuraba----.Nakutaka

3.Ankuushumiyo....Nikubusu

4.Ankuuhabaro....Nikubebe

5.Waahatahay Gawar Kuruh.....Wewe ni msichana mrembo sana

6.Waankuhiise....Nime ku miss sana

Part Two...itaendelea hivi punde
 
Tufundishe ladyship piano Manana ni ngumu sana.
 
Kwa kawaida nasikiliza BBC Africa kabla ya kutoka kitandani asubuhi. Huwa kunakuwa na habari kwa Kiingereza, halafu Kiswahili na kisha Kiingereza tena. Baada ya muda huo, ninakuwa nimepitiwa na usingizi. Hata hivyo ninaamka ghafla wakianza kutangaza kwa Kisomali. Lugha hiyo inanikera sana masikioni kiasi cha kuniamsha. Baada ya hapo, huwa ninazima redio.
 
wewe usilete part two lugha ya nini ya makorofi hayo ........ unataka tukaanze kuteka meli?
 
Hapo hujafundisha kitu,labda nikufahamishe kwamba unatakiwa kuwaelekeza wasomaji arudhi ndogondogo za sarufi ya lugha hiyo,mfano fonimu zote na utamkaji wake vinginevyo tafuta kazi nyingine ya kufanya.
 
hii lugha wakikusikia uhamiaji lazima wakuhoji uraia wako.!
 
Dah! Mkaka upo speed sana!! Kuanza na kuanza umekuja na "nakupenda" Unataka dada zako watongozwe nini? Au ndio baada ya kula kile kibinti cha Tigo ndio umeona ucheze fairrplay kwa kuwaweka sokoni dada zako!
Haya Bwana!!
 
Morning JF People na wakereketwa woote

Jamani, as u know JF is not only the home of great thinkers kama mm but pia ni kituo cha kupata maarifa na kujifunza mambo mbali mbali..sasa mm nimeamua nijtolee kutoa darasa la lugha ya kisomali..off course its a plus because, for most of us kwenye CV zetu kwenye part ya language tunaweka lugha mbili (Kiswahili + Englis) ingiwa hiyo mtua ataandika he/she is fluent in English but when it comes to express himself/herself huwa tunambwela...lol...turudi kwenye maada, nitakua natoa tafsiri mbali mbali za lugha ya kisomali kwa kiswahili. The main topics zitahusu

1. Mapenzi ( Vocabulary za Malavi davi)

2.Vyakula

3. Biashara

4. Na memgineyo

Natambua vizuri wengi humu wamekaa kimapenzi mapenzi, sasa nitaazana na vocubalries za mapenzi...attention please!!!

1. Waankujeelahay...Nakupenda

2.Wankuraba----.Nakutaka

3.Ankuushumiyo....Nikubusu

4.Ankuuhabaro....Nikubebe

5.Waahatahay Gawar Kuruh.....Wewe ni msichana mrembo sana

6.Waankuhiise....Nime ku miss sana

Part Two...itaendelea hivi punde

Kumbe mmejaa tele humu!! aisee mods waangalieni sana hawa wasije wakatia kitumbua mchanga.
 
Hii thread itawafaa wale wenye mpango wa kujiunga na Al-Shaabab (Vijana wa Kiume). Terminology zitakazofaa sana sana ni masuala ya kivita kama; jinsi ya kutamka maneno yafuatayo kwa kisomali: bomu, gruneti, short gun, kifaru n.k.
 
Mmi nilikua napendelea kujua kuhesabu kwa kisomali na baadhi ya maneno na majina ya familia mfano baba,mama,nk
 
Back
Top Bottom