Ni machungwa ya Muheza, yenye sifa kemkem
Yamejaa kila muji, hakuna asoyajua
Yanauzwa bei chee, na fukara anamudu
Ni machungwa tamanika, bali ndani yameoza
Yanazidi ya handeni, yamenea nchi...
Yaani hii nchi inakera sana, yani tovuti ya muhimu kama ya takwimu za nchi (NBS) taarifa zote zimeandikwa kwa kiingereza...Hivi wanategemea kwamba kila atayetembelea tovuti hiyo anaelewa...
Leo asubuhi nimejikuta nasakiliza kipindi cha watoto kwenye radio. Nimeshangaa watoto wanavyoulizana mafumbo, methali, nahau na hata jinsi wanavyosimulia hadithi zao. Kuna nahau moja ilitolewa na...
Majina ya Kijerumani kwa miji ya
Tanzania wakati wa utawala wa
Kijerumani 'DeutschOstAfrika'
Bismarckburg (Kasanga)
Kilimandscharo (Kilimanjaro)
Wilhelmstal (Lushoto)
Weidmannsheil (Tabora)...
Makosa haya yapo kwa watu wa kada tofauti. Ongezea na wewe mengine
Bronchure--------------------akimaanisha Brochure
Inssue.................................akimaanisha Issue...
Karudi baba mmoja toka safari yambali, kavimba yote mapaja na kutetemeka mwili...
watoto wake wakaja ili kumtaka hali wakataka na kauli iwafae maishaniiii
akatamka mgonjwaaa ninaumwa kwelikweli...
SICHO HICHO
Hiki kilichoko sicho, hiki sicho kilichoko,
Ndicho hiki hichohicho, ndicho hiki hakiko,
Hiki ni kile si hicho, kile kisichokuwako
Hakuna cha mgao, kilichoko ni historia;
Ya...
Habari za saa hizi wanajamvi
Iko hv ktk hali ya kushangaza kwa watanzania ni pale mtu anapoongea lugha ya kiingereza anajihisi kma shujaa aliyemwondoa Gaddaf madarakan kuliko pale anapotumia lugha...
Chura ni mnyama mdogo sana ambaye binadamu hamthamini na wala kumuogapa,lakini Tembo pamoja na kuwa mnyama mkubwa kuliko wote wa porini anamhara sana chura licha ya udogo wake.
Tembo hata...
kumekuwa na tabia ya wenye kusimamia kiswahili kulazimisha kuweka maneno ya lugha za mpya katika kutika kuongeza msamiati wa lugha ya kiswahili, mfano maneno kama ngamizi ya kupakata na ngamizi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.