Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Katu hapandi Farasi, yule mzoea Punda, Mpenda kwenda kasi, mwendo pole humshinda, Amezoweshwa fenesi, doriani lamshinda, Sitokalifisha nafsi, nafanya ninayopenda, Loo! Nina wasiwasi, kwa mambo...
5 Reactions
2 Replies
1K Views
Kusahau ni kubaya, kwani kwatia majuto, kwamtia mtu haya, uchekwe kama mtoto, kunapoteza hedaya, yenye kuleta kipato mtu atafuta shoka, kumbe lipo mabegani
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wadau, Hii imetokea leo kwenye basi la kampuni maarufu hapa Dodoma. Ilikuwa kama ifuatavyo:- Mnamo majira ya asubuhi Leo nilipanda basi kwa lengo kwenda Dodoma mjini nikitokea moja ya...
2 Reactions
28 Replies
5K Views
Kuna kitu nimekigundua watu wengi hawajui kuomba wasamehewe, kwanza kabisa kuna maneno mawili nayo ni samahani, nisamehe. Sasa ngoja niyadadavue kwa mamikini yanavyo takiwa yatumike SAMAHANI hili...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hapa tanzania neno muheshimiwa kwa kias kikubwa linatumiwa vibaya na wanasiasa kwa mtazamo wangu. Hiv kuwa diwan, mbunge, wazir ni lazima uitwe mheshimiwa? Hiv mbunge ambae kaz yake kubwa ni...
0 Reactions
15 Replies
9K Views
Wakuu neno/kifupisho hiki matumizi yake sahihi ni yapi,kwa wakati gani na katika kumanisha nini? na kwa wakati gani? Nakumbuka kuna kijana UINGEREZA alifungwa miezi SITA kwa matumizi ya neno hili...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mshipi=mkanda ....................
0 Reactions
43 Replies
7K Views
Yupo fulani aliyewahi kusikia au kusoma juu ya ‘humanism’ au ‘humanistic teachings’ kwa kiingereza na anayejua kuitafsiri katika Kiswahili! “Mafundisho ya kibinadamu” haifiki! ‘Humanism’...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Hey members!Naomba nitoe msaada wa matumizi ya neno WHO & WHOM maaba watu wengi huchanganya sana. Kwa kifupi WHO hutaka kujua mtenda tendo(subject) wakati WHOM hutaka kujua mtendewa(accusative...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Hiki tunachoita mabomu ya machozi, wenzetu waswahili pia wakutoka Kenya wanaita vitolea machozi. Binafsi najiuliza ni kwa nini tunapenda kutumia neno bomu au mabomu? Ni makusudi au ukanjanja...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa wale wanaofahamu eneo la Malanja...... Tusaidieni hili. Ni Close au Cross?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Bonjour mes amis......
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Wakati watanzania na serikali yake tukiidharau na kuchukulia poa lugha yetu adhimu ya kiswahili, wenzetu wa mataifa ya nje wanaithamini sana na kujifunza kwa kasi. Leo kupitia habari kwenye TV...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
msaada pliiizi!
0 Reactions
19 Replies
25K Views
Habari.. Naomba ushauri, nifanyeje ili kiingereza nikizoee na kukitumia kama navyokitumia kiswahili (naweza cha kuombea maji)
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa yeyote anaefahamu kilipo kituo kinachotoa kozi ya lugha ya kituruki naomba anisaidie
0 Reactions
0 Replies
894 Views
Naombeni kujua kwanini Christmas hufupishwa kama x mass..nataka kujua "x" inasimama badala ya nn na "mass"inasimama badala ya nn
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Salamu ukumbini, nimerudi wamalenga Nauliza uwanjani, majawabu sitopinga Yametokea mjini, msiniifanye mjinga Dini mbili harusini, ndoa gani tutafunga Moja ya kuumeni, dini njema imefunga Kijana...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwanini wabongo tusiimarishe lugha yetu nayo iwe na hadhi
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wale wote mnaotumia R kwenye L, jitahidini mwaka 2014 muache kabisa, kwa hizi siku 6 zilizobaki endeleeni kutumia ra ra zenu ila january tafadhalini sana, Nadhani mnajijua wale wa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom