H HardMartin JF-Expert Member Joined Jun 8, 2012 Posts 308 Reaction score 113 Dec 18, 2013 #1 samahani wanajukwaa naomba kufahamu kiswahili fasaha kati ya haya maneno, hivi mtu huwa anajikinga na mvua au anajificha mvua?, nahitaji msaada wenu.
samahani wanajukwaa naomba kufahamu kiswahili fasaha kati ya haya maneno, hivi mtu huwa anajikinga na mvua au anajificha mvua?, nahitaji msaada wenu.
nkuwi JF-Expert Member Joined Feb 11, 2013 Posts 4,988 Reaction score 5,653 Dec 18, 2013 #2 Anajikinga mvua, ndo kiswahili sahihi na fasaha kwenye muktadha huo unaouzungumzia! na sio Anajikinga na mvua, hizi sentensi hazina maana moja!
Anajikinga mvua, ndo kiswahili sahihi na fasaha kwenye muktadha huo unaouzungumzia! na sio Anajikinga na mvua, hizi sentensi hazina maana moja!