Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Wambugi na Manguli wa lugha naomba tafsiri halisi ya maneno haya. Kwa wale tuliosoma au kuishi maeneo ya pwani miaka 1970s au Dar es Salaa, ingekuwa tusi mtu kutumia maneno ya Kukatwa mtu au...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
hii taarab nimeisikia kwenye redio tu, baadhi ya maneno huenda yasiwe sahihi, ila maneno yake yamenifikirisha sana. Hivi hapa walikuwa wanamaanisha nini hasa,, KUKU ni nani, na kwa nini anaonekana...
4 Reactions
4 Replies
4K Views
Tunaposema kuwa mtu fulani anajua lugha tunamaana gani? anajua nini hasa? eleza kwa hoja ukitoa mifano iliyohai
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Naomba kuuliza huu msamiati wa bwana mbatia leo bungeni kuwa serikali ina "mchoko mchoko" upo katika lugha ya kiswahili?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nitaipata wapi nii-download kamusi ya Kiingereza-Kiingereza ambayo maneno yake yamekuwa transcribed ki-fonetiki?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
i do wanna learn how to speak and write francais/ french language! It will be my preasure to get peple who knew it and ready to teach! Love u all!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hi Just to share with you the below materials from my Library.Enjoy The past continuous tense A: Form The past continuous tense is formed by the past tense of the verb to be + the present...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Naomben msaada
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Naomba mtu mwenye nafasi ya kunifundisha French, ninawiwa sana kujifunza hii lugha.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
kama mnavyojua kuwa miaka ya karibuni kumeibuka suala zima la utandawazi,hivyo basi fasihi kama fasihi ktk kipindi hicha cha utandawazi ina umuhimu gan??tafadhar msibeze majibu yenu yana umuhim...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wahenga naja nimetatizwa: Mbuzi dume anaitwa beberu, je ng'ombe dume anaitwaje ? natanguliza shukurani.
0 Reactions
1 Replies
24K Views
Jamani msaada wa msemo huu "Take things for granted" eg Don't take others for granted
0 Reactions
16 Replies
2K Views
maana halisi ya neno MWANAUME. Sababu jana katika kijiwe fulani cha kahawa hapa mtaani kwetu karibia watu watoane macho.:confused3:
0 Reactions
20 Replies
4K Views
WanaJF, naomba msaada wa maneno haya: 1. LIBENEKE 2. MSAADA KATIKA TUTA/TUTANI Natanguliza shukurani - Asanteni
0 Reactions
4 Replies
11K Views
Tanzania tuna makabila mbalimbali na yana utajiri mkubwa wa methali zenye mafunzo tofauti... sasa basi anaezijua aweke hapa tuweze faidika na wengine unaweka kama ilivyo,halafu tafsiri yake na...
3 Reactions
35 Replies
24K Views
Wadau....msaada tafadhari. Nahitaji kupata sehem ambayo nitasoma chinese na kuweza kuongea na kuandika vizuri. Natanguliza Shukrani zangu kwenu.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Vituo vingi vya televisheni katika wiki hii ya maadhimisho ya kumbukumbu ya Mwalimu,vingi vimejikita katika kuonesha hotuba mbali mbali za Mwalimu Nyerere.Licha ya hotuba hizo kuwa na maudhui...
3 Reactions
35 Replies
6K Views
Why some languages are refered as vernacular while It's linguistically argued that " No superior language"
0 Reactions
0 Replies
956 Views
Ngudu wadau wa Lugha ya kiswahili,ninaomba kupata maoni yenu kuhusu mada tajwa hapo juuu, Ninasikitishwa na kitendo cha Baadhi ya vyuo vikuu hapa nchini kufundisha lugha ya kiswahili kwa kutumia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wasalamu wakuu. Tunaweza kuitafsirije hii sentensi:- "Farm Radio Weekly" kwa kiswahili? Asante.
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Back
Top Bottom