Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Wana jf naomba msaada juu ya matumizi ya matumizi ya maneno yafuatayo: Hoja ya nguvu na Nguvu ya hoja. Mtu anaposema mathalani jambo hili tutalimaliza kwa nguvu ya hoja anataka kusema nini na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
awe anaweza kuandika na kuongea kiispania, si lazma awe fluent, estoy principiante.
0 Reactions
67 Replies
6K Views
ndugu zangu naomba kuuliza kama naweza kupata kamusi ya TUKI ambayo ipo kwenye mfumo wa software.
0 Reactions
8 Replies
14K Views
Nini ufanano kati ya fonetiki na fonolojia
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Usual things Survival kit (for english speakers): 150 sentences Namna ya kupronounce ile "r" ya kifaransa (extremely useful) Unlicking the mysteries of french pronounciation (Also important)...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Mnazijua PEMBE ZA NDOVU? Ndovu (tembo) hana PEMBE kama watu wengi wanavyodhani. Majangili huwinda tembo kwa ajili ya kupata vipusa ambavyo huviuza, hasa ktk nchi za mashariki ya mbali. Vipusa hivi...
1 Reactions
27 Replies
7K Views
Hivi wasomi wa kiswahili napata shida katika sentensi ifuatayo naomba usahihi,''jamuhuri ya muungano wa tz''au jamuhuri ya muungano wa tanganyika na zanzibar
0 Reactions
1 Replies
1K Views
KWenu wataalam wa lugha, huwa ninapata wasiwasi kidogo ninaposoma habara kama 'lori la mizigo limepata ajali' au 'basi la abiria'. Kwa mtazamo wangu ninaona mtu akishasema tu lori inatosha na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wanajf... Mara kwa mara napata matangazo/taarifa za msiba kupitia hapa jf,lakini cha kushangaza mara zote zinakuwa na heading inayoanzia na TANZIA. Najiuliza maswali mengi juu ya hili...
0 Reactions
3 Replies
58K Views
Mbeya mpoooooo!!!!?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
ndika jibu kwa neno moja la kinyakyusa kwa kila swali 1.mtoto aliyezaliwa kilion anaitwaje 2.mtoto wa kwanza wa kike wa chifu (princes) anaitwaje 3.mkewa mfalme 4.mtoto aliyezaliwa akakua...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
..,,Sifa za Watu waloshibana daima hukumbukana!!! ..,,Na salam husalimiana!!! ..,,Afya njema hutakiana!!! ..,,Huruma huoneana!!! ..,,Kwenye shida husaidiana!!! ..,,Makosa husameheana...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wanaotengeneza matangazo wanachangia sana kuharibu Kiswahili. Kama watu wa BAKITA na watetezi wengine wa Kiswahili wanasoma uzi huu wajitokeze kukomesha au kuwaelimisha watengenezaji wa matangazo...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
1.Mdogo wa baba, mkubwa wa baba ,kaka yake na mama kiswahili kila moja na jina lake na msikilizaji anajua moja kwa moja anatoka upande gani wa wazazi mfano Baba mdogo, baba mkubwa, na mjomba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mtu anaweza dhani kuwa maneno deadline na addiction hayana visawe vyake katika lugha ya kiswahili. Unaweza kuta mtu anasema "...hivi deadline ni lini...?" au "....jamaa kesha addict kwenye...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Naomba msaada wenu wadau wa lugha mimi naishi dodoma nahitaji kujifunza lugha ya kingereza niijue vizuri kwa kuiandika na kuiongea!je ninani/mahali gani kwahapa dodoma naweza kupata msaada kwa hilo?
0 Reactions
1 Replies
764 Views
Wanajamvi naomba maana ya neno hili kwa kiswahili "Take things for granted" mfano Dont take things for granted au Dont take other for granted
0 Reactions
2 Replies
2K Views
habari ya siku ya leo wapendwa wana JF, naombeni mnisaidie kutafsiri maneno yafuatayo kwa lugha ya kiswahili maana nimehangaika kutafuta tafsiri yake bila mafanikio yoyote. Recipes Cuisines Main...
4 Reactions
44 Replies
14K Views
Objectivity-yani mtu kuwa objective anapofanya maamuzi. Subjectivity Accumulated dipreciation Overhead Direct labour
0 Reactions
1 Replies
2K Views
I WISHED YOU LOVED ME BACK Form 3 - 1st term As I stood there with my friends on the top floor of the school building chatting and laughing on silly jokes. I saw a girl coming our way with...
18 Reactions
56 Replies
6K Views
Back
Top Bottom