Wewe mwenzangu unajifunza vip lugha ya malkia?

Naantombe Mushi

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
6,254
Reaction score
15,743
Mimi huwa naangalia movies za kiingereza, nasoma viji stories vidogo vidogo, nasoma novels halafu pale nnapokuwa peke yangu nakuwa nasoma kwa sauti ili kuangalia tonation yangu ipoje. Kwa kweli imenisaidia sana mpaka sasa niko powa sana kwenye hii lugha.

Muwe pia mnasikiliza miziki na kuangalia hizi series. Na muwe mnafanya hivo sio kwa lengo tu la kufurahia ila kwa lengo la kujifunza kiingereza. Kuna hii series fupi ya pirates of the Caribbean yaani nimemaliza kuangalia nime gain vocabulary nyingi sana pamoja na ufundi wa kuongea.

Mwisho wa siku nawapa rai na nyinyi ndugu zangu mjifunze hii lugha ya malkia maana huko tunapoenda kama unataka uwe kimataifa huwezi kwepa.

Embu share na wewe unajifunza vipi hii lugha? Naomba Kiranga ukaribie hapa because it's a de-facto, you are the connoisseur of this language according to JF's standards.
 
Last edited by a moderator:

Lugha Yoyote Ile Ukitaka Ujifunze Na Uielewe Vizuri Na Haraka Kwanza Anza Kuyajua Matusi Yake Yale YALIYOTUKUKA.
 
Mleta uzi jina lako kiboko! Sitaki hata kulirudia wala kulisoma kwa sauti
 
Huyu mdau amefanya makusudi kabisa ku-dramatize hiyo id kufanya
watu humu jukwaani waogope kutamka id yake. By the way, hiyo id ni
kichaga cha Machame/Kibosho na ni salamu za asubuhi kumsalimia mwanaume
wa ukoo wa Mushi. Kwa mwanamke ingekuwa Naantoma. Kiini cha salamu
hii ya asubuhi ni Naanto = Umeamka.Lakini matamshi yake ya asili kabisa
ni Naantwa. Lakini ulimi wa wamachame hauwezi kutamka -wa, wao hutamka -o.
Kwa msingi huo kahawa inatamkwa kahao, kufurahishwa wanatamka kufurahisho mwali ni moli
nk. Msikilize tajiri mmoja mmachame maarufu anayeishi dsm akizungumza kiswahili utaelewa
ninalosema hapa.

Kwa hiyo basi hiyo salamu naantwa ikageuzwa na kuwa naanto.Halafu mr kwa kimachame
ni mbe. Hivyo ukichanganya salamu na mr unapata Naantombe ambayo inachefua sikio la mzungumzaji
wa kiswahili.
 
Ina Rhyme vip kwani acha zako Gentamycine hilo jina liko powa tu.

Usiogope my cousin majina ya shemeji zako huko uchagani. Unanishangaa mimi akati kuna ukoo unaitwa Mboro.

Binamu hayo majina nimekushindwa kabisa. Nakugawa bure
 
Huyu mdau amefanya makusudi kabisa ku-dramatize hiyo id kufanya
watu humu jukwaani waogope kutamka id yake. By the way, hiyo id ni
kichaga cha Machame/Kibosho na ni salamu za asubuhi kumsalimia mwanaume
wa ukoo wa Mushi. Kwa mwanamke ingekuwa Naantoma. Kiini cha salamu
hii ya asubuhi ni Naanto = Umeamka.Lakini matamshi yake ya asili kabisa
ni Naantwa. Lakini ulimi wa wamachame hauwezi kutamka -wa, wao hutamka -o.
Kwa msingi huo kahawa inatamkwa kahao, kufurahishwa wanatamka kufurahisho mwali ni moli
nk. Msikilize tajiri mmoja mmachame maarufu anayeishi dsm akizungumza kiswahili utaelewa
ninalosema hapa.

Kwa hiyo basi hiyo salamu naantwa ikageuzwa na kuwa naanto.Halafu mr kwa kimachame
ni mbe. Hivyo ukichanganya salamu na mr unapata Naantombe ambayo inachefua sikio la mzungumzaji
wa kiswahili.
Umeeleza vizuri mkuu nakutunuku degree ya heshima Honoris Causa Summa Cum Laude
 
Nilitaka wadau humu waelewe kwamba hujafabricate neno 'naantombe' Na hiyo degree uliyonitunuku ni kwa mujib wa sheria za chuo gani? Degree za heshima hazitolewi hivihivi tu bila mamlaka ya chuo fulani kupendezwa na kuridhia.
 
Back
Top Bottom