Translation ya maneno haya

Translation ya maneno haya

Juju_Kiki

Member
Joined
Apr 17, 2015
Posts
36
Reaction score
2
Naomba msaada wa jinsi ya kusema binti/mwanamke mzuri kwa Kimaasai n.a. Kisukuma. Pia Jinsi ya kusema save the earth in Maasai
 
Naomba msaada wa jinsi ya kusema binti/mwanamke mzuri kwa Kimaasai n.a. Kisukuma. Pia Jinsi ya kusema save the earth in Maasai

Ndito musuli=binti mzuri
Ornyoisadai lechamochamo=save the earth
 
Kwa Maa, binti mzuri ni 'Endito Sidai'
Na Save the Earth ni 'Tasaru Enkop'
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom