Nini asili ya neno Mshua/Msure!?

Nini asili ya neno Mshua/Msure!?

nyambogo

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2012
Posts
283
Reaction score
111
Nawasalimu wadau. Ningependa kujuzwa kama kuna mtu anaweza kunisaidia kujua asili ya neno hili MSHUA/ M-SURE kama linavyotumika kumaanisha baba
 
Mshua nijuavyo mm ni mtu mwanaume mwenye pesa, mwenye kuishi maisha ya ukweli (sure)..hili la baba kuitwa mshua cjui lilitokea wapi#
 
Mshua nijuavyo mm ni mtu mwanaume mwenye pesa, mwenye kuishi maisha ya ukweli (sure)..hili la baba kuitwa mshua cjui lilitokea wapi#

kaka nadhani ya kwako inaendana sana na 'mtoto wa kishua'/sure' thanks
 
Back
Top Bottom