Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Utunzi huu (wa M. Mpoto) ni kielelezo cha ubora na uzuri wa lugha yetu ya Kiswahili. Kila neno na kifungu ndani yake kinaakisi utajiri wa tamaduni na maadili ambayo tumerithi. Ni jukumu letu kama...
0 Reactions
0 Replies
460 Views
Kumekuwa na wimbi kubwa la wanadamu kutekwa.. Ile neno kutekwa ni Gumu sana kujua maana yake na kutamkwa, lilikujaje, na lilikubaliwa vipi kutumika kwenye jamii, walitumia njia gani? Maana JF...
2 Reactions
10 Replies
772 Views
Nashika tena kalamu, kwa Jina lake Karimu, Naishika kitalaamu, nashika kiufahamu, Napanga tungo adhimu, kama gwiji na mwalimu, Kuaga kwa mwenye njaa, huaga na haondoki!! Yametokea nyumbani...
5 Reactions
7 Replies
627 Views
A woman was born in 1975 and died in 1975. She was 22 years old at the time of her death. How?
7 Reactions
33 Replies
2K Views
Wanabodi Kuna baadhi ya maneno hiku Bara yanatamkwa vingine na Zanzibar vingine mfano neno Shule kwa huku bara, kwa Zanzibar zinaitwa skuli. Sikuwahi kujiuliza Kwanini, ila leo ndio nimejua...
2 Reactions
4 Replies
783 Views
Wadau hamjamboni nyote? Nimeanza jifunza kuhesabu kwa kiarabu Nimeona niwe tofauti na Wakristo wenzangu wanaoamini kuwa kiingereza ndiyo lugha sahihi zaidi kwao kuliko lugha nyingine Kiarabu ni...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Kwa hatua tuliyofikia hakuna asiyejua maana ya haya maneno Mishangazi na Lishangazi. Lishangazi- Umoja. Mishangazi- Wingi.
1 Reactions
5 Replies
647 Views
Hii mimea kwa kiingereza 1.Unaitwa -chamomile 2.Unaitwa-nutmeg nimejaribu kutafuta maana yake kwa kiswahili mpaka sasa sijafanikiwa. Tafadhali yeyote unaye fahamu jina la mimea hii kwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Maduhuli ni bidhaa zinazo ingizwa ndani ya Nchi zinatoka nje zinaingizwa ndani kwa kingereza tunasema Import kwa kiswahili fasaha ni maduhuli. Kwahiyo kuna maduhuli bayana na maduhuli fiche...
0 Reactions
2 Replies
605 Views
I've been learning Kiswahili for roughly a year using Duolingo. It has been very useful and I have had no problems with it, but I think it would be very helpful for me to also use other resources...
4 Reactions
5 Replies
2K Views
Jaman kwema? Kuna maneno nayasikia watu wanayatamka na pia yameandikwa sehem mbalimbali, ila sielewi maana yake. Nini maana ya maneno "UBAYA UBWELA"?.
1 Reactions
9 Replies
11K Views
Mbinguni kuna hukumu,amewaita manani Malaika walo zamu,aridhi na samawini Idadi wameshatimu,walo watu na majini Umeonewa shetani? Mikao ni kwa kaumu,watu wa zama fulani mitume yao...
0 Reactions
0 Replies
349 Views
Grammar Pedantry Syndrome' ni ugonjwa anaokuwa nao mtu ambapo anakuwa anapenda kusahihisha wenzake pale anapoona Grammar (sarufi) imetumiwa vibaya. Hajisikii tu vizuri kuona makosa hayo hivyo...
9 Reactions
20 Replies
3K Views
Tuambie hii sentensi UBAYA UBWELA kwa lugha ya kikwenu mnasemaje? 1. WAPARE - UVIVI WAHUNDUKA.
0 Reactions
18 Replies
824 Views
Wadau, siku hizi moyo wa kusoma vitabu vya aina zote-vya Taaluma na Riwaya umepungua sana na imepelekea Watunzi wa Riwaya kutoandika tena vitabu. Leo nawakumbuka baadhi ya Waandishi/ Watunzi wa...
5 Reactions
205 Replies
64K Views
Heshima yenu wakubwa Kwa wadogo. Nina swali gumu sana naomba mnijibuni. Kwa anayejua PIKIPIKI kwa KIZUNGU inaitwaje naomba anisaidie. Atakaeleta jibu sahihi zawadi yake ni vocha ya Tsh 10,000/=...
1 Reactions
44 Replies
2K Views
Habari wadau, wapi ninaweza kupata vitabu alivyoandika mwandishi nguli wa hadithi Agoro Anduru. Baadhi ya kazi zake nnazotafuta; 1. A Bed of Roses and Other Writings 2. Loyalty to My Friend 3...
2 Reactions
11 Replies
6K Views
Neno CV au curriculum vitae linaitwaje kwa Kiswahili?
2 Reactions
98 Replies
89K Views
Kuna watu ukiwatajia kuwa unatoka mkoani Kilimanjaro wanajua wewe ni Mchanga! Si kweli na kuna baadhi wanajua yakuwa Kilimanjaro kuna Wapare na Wachaga tu ngoja nikusanue. Kilimanjaro kuna...
7 Reactions
45 Replies
20K Views
Watu wa mbeya hiki Kiswahili chenu cha ajabu sana, sijui mlikitoa wapi. Tuendage- badala ya Twende Turudigi- Turudi Tupikage- Tupike Tuvaage- Tuvae Agizaga- Agiza Tuangaliage- Tuangalie...
6 Reactions
36 Replies
1K Views
Back
Top Bottom