Fahamu kuhusu Grammar Pedantry Syndrome (ugonjwa wa usahihishaji wa sarufi)

Mimi ni mmoja wapo nachukia sana kuona Kiswahili kinakosewa mfano mtu anaandika maarum badala ya maalum, ludi badala ya rudi. Sijui ni kutokana na fani yangu ya ualimu siwezi kuvumilia makosa nitasahihisha tu
 
Aisee so sad sijui mlisoma shule gani
Nafikiri neno Maalumu Ni sahihi zaidi kuliko neno Maalum
Screenshot_20200317-012514~2.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni mmoja wapo nachukia sana kuona Kiswahili kinakosewa mfano mtu anaandika maarum badala ya maalum , ludi badala ya rudi. Sijui ni kutokana na fani yangu ya ualimu siwezi kuvumilia makosa nitasahihisha tu
Ndo unaumwa sasa..!!
 
Waalimu kujifanya wajuaji? Umekosea hutaki kosolewa
Soma vizuri nilichoandika sio unakurupuka nimeandika vizuri kuwa sipendi mtu anayeandika maarum badala ya maalum wewe unakurupuka kusahihisha nyinyi ndio huwa tunawanyima marks kwenye mitihani. Hujasoma swali vizuri unakurupuka kujibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom