Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Jaman kwema? Kuna maneno nayasikia watu wanayatamka na pia yameandikwa sehem mbalimbali, ila sielewi maana yake. Nini maana ya maneno "UBAYA UBWELA"?.
1 Reactions
9 Replies
11K Views
Mbinguni kuna hukumu,amewaita manani Malaika walo zamu,aridhi na samawini Idadi wameshatimu,walo watu na majini Umeonewa shetani? Mikao ni kwa kaumu,watu wa zama fulani mitume yao...
0 Reactions
0 Replies
364 Views
Grammar Pedantry Syndrome' ni ugonjwa anaokuwa nao mtu ambapo anakuwa anapenda kusahihisha wenzake pale anapoona Grammar (sarufi) imetumiwa vibaya. Hajisikii tu vizuri kuona makosa hayo hivyo...
9 Reactions
20 Replies
3K Views
Tuambie hii sentensi UBAYA UBWELA kwa lugha ya kikwenu mnasemaje? 1. WAPARE - UVIVI WAHUNDUKA.
0 Reactions
18 Replies
831 Views
Wadau, siku hizi moyo wa kusoma vitabu vya aina zote-vya Taaluma na Riwaya umepungua sana na imepelekea Watunzi wa Riwaya kutoandika tena vitabu. Leo nawakumbuka baadhi ya Waandishi/ Watunzi wa...
5 Reactions
205 Replies
64K Views
Heshima yenu wakubwa Kwa wadogo. Nina swali gumu sana naomba mnijibuni. Kwa anayejua PIKIPIKI kwa KIZUNGU inaitwaje naomba anisaidie. Atakaeleta jibu sahihi zawadi yake ni vocha ya Tsh 10,000/=...
1 Reactions
44 Replies
2K Views
Habari wadau, wapi ninaweza kupata vitabu alivyoandika mwandishi nguli wa hadithi Agoro Anduru. Baadhi ya kazi zake nnazotafuta; 1. A Bed of Roses and Other Writings 2. Loyalty to My Friend 3...
2 Reactions
11 Replies
6K Views
Neno CV au curriculum vitae linaitwaje kwa Kiswahili?
2 Reactions
98 Replies
89K Views
Kuna watu ukiwatajia kuwa unatoka mkoani Kilimanjaro wanajua wewe ni Mchanga! Si kweli na kuna baadhi wanajua yakuwa Kilimanjaro kuna Wapare na Wachaga tu ngoja nikusanue. Kilimanjaro kuna...
7 Reactions
45 Replies
20K Views
Watu wa mbeya hiki Kiswahili chenu cha ajabu sana, sijui mlikitoa wapi. Tuendage- badala ya Twende Turudigi- Turudi Tupikage- Tupike Tuvaage- Tuvae Agizaga- Agiza Tuangaliage- Tuangalie...
6 Reactions
36 Replies
1K Views
  • Poll Poll
Je Kiswahili ni Lugha yako ya Kwanza?
0 Reactions
2 Replies
422 Views
Kama kichwa cha Habari kinavyosema, zaidi ya wiki sasa imepita toka nilete hii changamoto iliyopo katika lugha yetu ya Kiswahili...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Nafahamu kuwa kuna baadhi ya Watanzania wanaoongea Kiarabu fasaha. Hata mama Samia inasemekana anakimanya vizuri tu. Lakini kama moja ya official language, sijawahi kusikia. Mtandaoni kuna makala...
6 Reactions
35 Replies
2K Views
Nimekuwa nikisikia watu wakitumia neno "kupoteza maisha" kumaanisha mtu amefariki dunia,mimi nafikiri si sahihi kwani inaonekana imetokana na maneno ya kiingereza " lost life". Naomba nisaidiwe.
1 Reactions
19 Replies
5K Views
Vijana wengi Leo hii wapo busy kutafuta mambo ya Kuwa furahisha na siyo kuwa fanikisha . Kama kijana anapaswa kujenga nguzo zifuatazo ili aweze kufanikiwa Kwa Leo nitaongelea nguzo mbili tu ...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Na nitaomba pia kama kuna Mwanajeshi yoyote yule hapa JamiiForums mwenye Kamusi Maalum ya maneno ya Kijeshi ya Kiswahili kwenda Kiingereza au Kiingereza kwenda Kiswahili aniwekee hapa au aniambie...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
We Mama Njoo Njoo Uone Nchi Ilivyobadilika Tanzania Ya Leo Oooh! Imejengwa Imejengeka Pita Ubungo Tazara Za Juu Barabara Tayari Zinatumika Reli Yenye Viwango Bora Standard Gage Karibu...
0 Reactions
1 Replies
582 Views
Huu msemo Waliosoma Cuba una maana gani kiutani coz nausikia tu na sielewi!!!
3 Reactions
21 Replies
4K Views
i love you =i want to use you
0 Reactions
0 Replies
329 Views
Back
Top Bottom