Wataalamu wa Kiswahili ningependa mnisaidie swali hili;
Andika barua kwa Mhariri wa gazeti la Mwananchi juu ya tatizo la ajira Tanzania, jina lako ni KASHAIJA S.L.P 10. Butiama.
Siyo mbaya hata ukinipa tu mambo/ hatua mhimu za kuzingatia ktk uandishi wa Barua za magazetini.
Natanguliza shukrani!