Maana Ya "maneno kuntu"

Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,983
12,702
Habari wataalamu wa lugha. Naomba mnipe maana ya "maneno kuntu"
 
Ndugu yangu neno KUNTU ni neno zuri la Kiswahili lenye maana ya kuonesha kukubaliana au kuafiki kauli iliyotolewa na mwenzako:
Mfano Rafiki yako akieleza kwamba Jumamosi hii ili kupata mapumziko mazuri itabidi muende Bagamoyo Beach na wewe ukaafiki utamjibu "Kuntu Chialo Malenga, twende Bagamoyo. Hivyo kuntu lina maana ya SAWA, NAKUBALINA! AU HASWA/BARABARA!
 
Maneno haya kuntu. Nipo sahihi?
 
Kuntu mshikaji au co.
 
Sijui ni kwa nini, hiyo phrase ikitumiwa na mwanamume huwa 'napata ukakasi' hivi!

Je, ni mimi tu?:D:D
 
Back
Top Bottom