Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 14,694
- 7,908
Lugha ya kiarabu,inatofautiana baina ya nchi na nchi,ila iwe wanaongea kiarabu cha kisomi,eweje mtu ambaye hajasoma kiarabu cha kisomi,aseme amewahi kuishi nchi Saudia,halafu aende Oman,aseme amewasikia wanachozungumza.Kuna utofauti mkubwa wa matamshi na maana ya maneno. Varieties of Arabic - Wikipedia, the free encyclopedia