Neno 'Taarifa ya habari'

Neno 'Taarifa ya habari'

Anonymous Caller

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2016
Posts
1,393
Reaction score
1,896
Habarini wadau wa lugha,
Binafsi ninapata shida sana kuelewa mantiki hasa ya neno tajwa sababu ninaona maneno mawili ndani ya neno moja yenye maana ileile..taarifa ndio habari hiyohiyo.

Hem chunguza tungo zifuatazo;

(a) habari tulizonazo ni kwamba...............
(b) kuna taarifa zimetufikia punde kwamba................
 
hilo neno limeanza kukupa shida kuanzia lini labda tukusaidie leo!!!
 
Back
Top Bottom