Neno "mchati", hebu tulijadili hili neno

Neno "mchati", hebu tulijadili hili neno

C.T.U

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2011
Posts
5,080
Reaction score
3,769
C1.jpg

wale wazee wa kununua wajasilia mwili a.k.a machangudoa hili neno mchati ni neno famous sana kwao

machangudoa mtu anayewanunua wanamwita mchati

utasikia "niko na mchati wangu" "yule mchati hajanipa hela" "yule mchati hela yake ndogo halafu hakoj** haraka"

n.k

sasa wadau hili neno nani anajua lilipoanza??

au unaweza tupa experience yako na hili neno
ewe kaka na ewe dada humu JF

BTW

NASHAURI LIINGIZWE KWENYE KAMUSI

MCHATI- MTU ANAYENUNUA MWANAMKE KWA AJILI YA KWENDA KUFANYA NAE NGONO

pasaka njema leo wote mtakaoukuwa wachati

kona bar, ambiance, kimboka, sewa bar, meeda, concord, maisha, sea cliff, brazili tegeta, mbezi kwa God, lambo, magomeni, Kinondoni

TUMIENI TU CONDOM
 
Hahahaha!!!!! mkuu unanikumbusha mbali pande za chichi club ndani ya jiji la tanga,,,,,,neno hilo nimelisikia sana pande hizo ila nilikuwa sijui maana yake.
 
Ndio hivyo neno MCHATI
 
Mara nyingi nimewasikia watu WA Burundi na rwanda
 
C1.jpg

wale wazee wa kununua wajasilia mwili a.k.a machangudoa hili neno mchati ni neno famous sana kwao

machangudoa mtu anayewanunua wanamwita mchati

utasikia "niko na mchati wangu" "yule mchati hajanipa hela" "yule mchati hela yake ndogo halafu hakoj** haraka"

n.k

sasa wadau hili neno nani anajua lilipoanza??

au unaweza tupa experience yako na hili neno
ewe kaka na ewe dada humu JF

BTW

NASHAURI LIINGIZWE KWENYE KAMUSI

MCHATI- MTU ANAYENUNUA MWANAMKE KWA AJILI YA KWENDA KUFANYA NAE NGONO

pasaka njema leo wote mtakaoukuwa wachati

kona bar, ambiance, kimboka, sewa bar, meeda, concord, maisha, sea cliff, brazili tegeta, mbezi kwa God, lambo, magomeni, Kinondoni

TUMIENI TU CONDOM
yah ni neno la kawaida sana hasa ukipita pale kona baa lazima ulisikie
 
Mchati ni mti unao patikana maeneo ya mwambao wa bahari, sifa ya mti huu unawaka ukiwa mbichi hivyo kufanya watu wengi maeneo ulipo kuutumia km kuni
 
C.T.U nakuona Una uza mawazo hapo!! huyo wa kulia kwako amekuelewa...
 
Aisee jina zuri sana, kuanzia leo naanza kujiita mchati
 
Kuna jukwaa lenu maalum kwa mambo hayo peleka huko utawakuta wenzako watakujuza huku umepotea njia mkuu
 
Back
Top Bottom