johnsonmgaya JF-Expert Member Joined Oct 16, 2015 Posts 2,818 Reaction score 3,731 Nov 21, 2016 #1 Huu ni wimbo wa salome wa diamond nataka nijue alikuwa anamaanisha nn na je hiki ni kihaya ama lugha gani? au ni kiswahili cha kibantu?? "kwangwaru"
Huu ni wimbo wa salome wa diamond nataka nijue alikuwa anamaanisha nn na je hiki ni kihaya ama lugha gani? au ni kiswahili cha kibantu?? "kwangwaru"
H Hardman JF-Expert Member Joined Jan 4, 2011 Posts 750 Reaction score 526 Nov 21, 2016 #2 subiri mwanagenzi amuulize ony sigala