Wana-Lugha nipeni Shule tafadhali.

dalalitz

JF-Expert Member
Sep 6, 2013
3,332
1,862
Habari Wadau.

Kwa kutambua kuwa tunao wasomi,
Wajuzi na Wabobezi wa Lugha anuai humu ndani,
Nachukua fursa kuomba nipewe shule ya maneno linganifu yaliojibebea umaarufu wa kutosha katika Kiswahili,
Niyapate katika Kiingereza ( Ung'eng'e).

Angalizo:
Sitafuti ufafanuzi,
Bali maneno ya Kiingereza yanayolingana na Misemo au maneno haya ya Kiswahili.

Maneno/Misemo:
1.Pambana na Hali yako.
2. Utajiju.
3.Mbele kwa mbele
4.Pasua Jipu.
5.Unanitega.

Pengine hili linaweza kuwa Baraza zuri la kuongezea maneno ili tusaidiane zaidi.

Nawasilisha.
 
Hayo maneno yanatambulika kwenye Kamusi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika kutafsiri kuna kutafsiri neno kwa neno na kutafsiri kulingana na maudhui ya sentensi.
Mara nyingi ukitafsiri neno kwa neno haupati maana kisemantiki hivyo wengi hutafsiri kimaudhui.

Kama utanielewa nilichomaanisha hapo juu mpaka sasa utakua ushapata picha ya sentensi zako kwa lugha nyingine.
 
Habari Wadau.

Kwa kutambua kuwa tunao wasomi,
Wajuzi na Wabobezi wa Lugha anuai humu ndani,
Nachukua fursa kuomba nipewe shule ya maneno linganifu yaliojibebea umaarufu wa kutosha katika Kiswahili,
Niyapate katika Kiingereza ( Ung'eng'e).

Angalizo:
Sitafuti ufafanuzi,
Bali maneno ya Kiingereza yanayolingana na Misemo au maneno haya ya Kiswahili.

Maneno/Misemo:
1.Pambana na Hali yako.
2. Utajiju.
3.Mbele kwa mbele
4.Pasua Jipu.
5.Unanitega.

Pengine hili linaweza kuwa Baraza zuri la kuongezea maneno ili tusaidiane zaidi.

Nawasilisha.

1.Pambana na Hali yako - face your situation
2. Utajiju - you'll get it
3.Mbele kwa mbele - No turning back
4.Pasua Jipu - let the cat out of the bag
5.Unanitega - you're tricking me
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom