SPECIAL TMN
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 1,111
- 807
Wakuu habari, Hili neno YAKUZA lina maana gani? Wataalamu karibu.
Nini maana ya dogoli?Ukienda kimara kuna kikundi cha watoto wanajiita yakuza na ukisikiliza nyimbo za singeli wanarushwa sana utasikia watoto wa yakuza
Ukikutana na hao watoto lazima waondoke na dogoli na ukiwa mbishi unakula mapanga na usiku usithubutu kukutana nao
Nadhani ushapata picha maana ya msemo huo
Nini maana ya dogoli?
dogoli ni simu...