Lugha ya kiswahili ni moja kati ya lugha zinazoendelea kukua kwa kasi na kusambaa duniani huku mataifa mengi yakianza kujikita katika lugha yenye utamu katika mazungumzo.
Lugha ambayo inavutia...
Salaam wakuu
Mimi ni kijana wa kiume nipo moshi. Hivi karibuni nimepata mwaliko wa kwenda moja wapo ya nchi ya Ulaya.
Tatizo langu kiingereza nachozungumza kimejaa makinikia kibao, in short my...
Habari wanajamii naomba kufahamu tafsiri ya neno "owe" naona linamatumizi mazuri katika lugha ya kiingereza ila kwenye lugha yetu ya Kiswahili sifahamu tafsiri yake, kwa yeyote mwenye kujua...
kwanza ametandika KANGA mezani ili kureflect culture ya mswahili, halafu anazungumzia terminology za kiswahili sana kama MTANDIO.
SWALI FIKIRISHI: Hivi culture ya mtanzania ni mitandio na kanga au...
Habari wakuu
Leo nilitembelea kwa mjomba wangu
Aisee sasa nilimsubiri kwa kitambo kweli akawa amerudi akamtuma mwanae mkubwa tu wakati anavua viatu na kumwambia ''niletee kandambili zangu"
mwanae...
Wakuu nimeangalia mtandaoni naona majibu hayaendani na context. Naambiwa ni befell, disaster, destiny, tragedy na accident. Msiba naomaanisha ni wa kufariki mtu moja tu, kwa Kiingereza tunasemaje...
Mara nyingi sana tumezoea kuona vicharazio vizuri na vingi vikiwa katika lugha za kigeni,hii imesumbua sana wengi kwenye simu zao hata pale inapokuwa on kwenye auto orrection.
Wengi hulalamika...
FAHAMU KUHUSU TUNZO ZA USHAIRI TANZANIA
Kuanza kwake na dhumuni la kuanzishwa kwa tunzo hizo.
Taratibu,sheria na kanuni za kumpata mshindi
Nusra M. Haji...
Wajuzi wa lugha hili neno linatumiwa sana na wadau mbalimbali,hivi nini hasa tafsiri yake?na je ni wakati hutakiwa kutumika?Je twaweza kutoa mifano?
Aksanteni
Habari za majukumu ndugu zangu,
Nimekuwa nikijiuliza faida ya vitendawili, ngano, methali na lugha nzima ya kiswahili kwa ujumla ni nini mpaka imekuwa lugha ya taifa? Amini usiamini lugha ya...
Nimevutiwa na na hili neno wakuu,nimelikuta hapa hapa JF na maana yake nimeijulia hapa..
Juzi nimejaribu kumwita rafiki yangu kwa jina hili, akaniambia tena yeye ni kilaza haswa, nikamuuliza...
Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na hii dhana ya uchochezi hasa kupitia mitandao ya kijamii. Dhana hii sasa imekuwa ni kibano kikali kwa watoa maoni wote katika mitandao na wengi wetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.