Wazee wa zamani walikua na mifano ya vitendo

Wazee wa zamani walikua na mifano ya vitendo

qaxemvule

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
231
Reaction score
120
Wahenga husema ukimuua nyoka lazima ukate kichwa chake. Ukisha uchimbe mashimo mawili moja fukia mwili wa yule nyoka.
Na lile shimo la pili fukia kile kichwa cha yule nyoka.

Kama hujakikata kile kichwa na ukivifukia vyote kwa pamoja basi wanasema atafufuka kuwa hai.
Kwani hasa walikua wana maana gani?

Sent using jamii forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom