Wapenda Novels/Short Stories, tukutane hapa

Fredwash

JF-Expert Member
Oct 27, 2009
1,041
1,376
Jamani nawasalimu wote kwa mujibu wa imani ya kila mtu.... kama sitakuwa nimekosea nahisi JF kuna thread nyingi zimeanzishwa kwa ajili ya movies wakishare movies walizonazo..

Baada ya kuwa inspired na alichokifanya Ndugu "Kifatyu" alieshare vitabu vyake vingi "zaidi ya 70" vya nguli James Hadley chase, nimeonelea kuanzisha huu uzi kwa ajili ya mtu kushare kila aina ya kitabu ( LIFEINSPIRATION BOOKS, NOVELS AND SHORT STORIES BOOKS) alichonacho ama kuomba kitabu anachohitaji ili mdau mwingine aweze kuweka hapa.

kwa kuanzia naweka vya kwangu ... mtanisamehe kwa Tittle ambazo haziko vizuri kwani vilikuwa kwenye kwenye format ya "E.pub" kwani natumia Ebook reader "Kindle" kusomea vitabu ilibidi nivibadili kwa mkupuo kwenye format ya PDF.


NB: pia tusaidiane kushare link za website zinazotoa Novels nzuri iwe kwa kununua ama bure .

kwa kuanzia mimi ni lifetime member wa mtandao huo hapo chini unaotoa vitabu bure unajiunga kwa ada ndogo unakuwa na uwezo wa kupaku vitabu tofauti. ... nimelipa ada ya kuwa lifetime member so kwa anaehitaji kitabu chochote ninaweza nikajaribu kukitafuta kwenye huu mtandano. kwani nimegundua kuna novelist wengi wazuri waliochipukia sema sababu ya social media ari ya kusoma imekwisha ndo maana hatuwajui.

Vitabu vingi nimedownload hapa ,

Free-eBooks.net | Download free Fiction, Health, Romance and many more ebooks

KAMA KUNA KITABU HAKITASOMEKA AU KUFUNGUKA TUJULISHANE

nitaviupdate vya MARIO PUZZO ( six graves to munich and Fools die)
 

Attachments

  • Gone With the Wind - Margaret Mitchell & Pat Conroy.pdf
    3 MB · Views: 154
  • Wind Through the Keyhole_ A Dark Tower Novel, The - Stephen King.pdf
    1.4 MB · Views: 1,238
  • Adams_Watership Down_PTRi-480 - Lauren Simonetti, Simon & Schuster.pdf
    2.8 MB · Views: 118
  • Cry, The Beloved Country - Alan Paton.pdf
    1.6 MB · Views: 108
  • Lehman_BAP 2011_i-212_PTR.indd - Unknown.pdf
    3.6 MB · Views: 105
  • 96849784-A-Memoir-by-Stone-Temple-Pilots-frontman-Scott-Weiland-NOT-DEAD-NOT-FOR-SALE - Unknown.pdf
    3.3 MB · Views: 87
  • 9781451658903TEXT.indd - Unknown.pdf
    1.4 MB · Views: 80
  • Awaken_the_Giant_Within.Anthony_Robbins - Unknown.pdf
    1.6 MB · Views: 89
  • Franco_PaloAlto_CV_PTR.indd - Unknown.pdf
    2.2 MB · Views: 100
nashukuru sana nimeifruahia hiyo site na nimejiunga, nimefarijika but nimeona kuna kulipia pale unakua unapta unlimited acces ya vitabu ever bila lmit but si mbaya nimeanza na ya vitabu 5 kwa mwezi vinatosha sana kwangu nashukuru sana ubarikiwe :):):)
 
Yap, hapo bomba saaana, hebu tembelea www.joafrica.africamotion.net
Au ingia Google usearch keyword hii "Nopinia Publishing House". Hapo utaweza kusoma na kupata simulizi nzuri na za kuelimisha. Kuna kitabu kinaitwa "THE HOUSE OF BROKEN HEARTS". Ni kizuri saaana, nimetafuta hard copy pamoja na softcopy but Sijafanikiwa, ila unaweza isoma online kupitia mtandao huo, inafundisha mengi kwa kweli.
 
Back
Top Bottom