Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
*Pa Pa Pa* (Kimya) *Pa* - Kezilahabi, 2008 [Kwenye Diwani ya Dhifa] *Tafakuri Fupi Juu ya Shairi Hilo* Ushairi ni taaluma kama taaluma nyingine tanzu. Maudhui katika Ushairi...
0 Reactions
1 Replies
892 Views
POLE TUNDU LISU. 1)Maisha ya mwanadamu,yamejawa na mikasa Mirahisi na migumu,mapito mengi na visa Inapomwagika damu,nchi inajitikisa Pole sana ndugu Lisu. 2)Ulihamka salama,kazini kuelekea...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
1. Fumbo ninawafumbia, wajuaji mfumbue, Ni siri nawaambia, werevu na wategue, Ni swali nawarushia, Malenga jitutumue, Ndege huyu ndege gani, Na makinda yake mia? 2. Apendeza kama nini, hilo...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari za muda ndugu, jamaa na marafiki? Mada tajwa ni swali tosha kuwakamata kidato cha nne, cha sita na hata wanazuoni ambao wamewekeza katika elimu, hususan lugha ya kiswahili. NECTA, TUKI...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Wana lugha naombeni tofauti kati ya maneno hayo na miktadha yake?
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Namba wana jf kupata maana ya hili neno. Kumradhi. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Naomba kupewa ushirikiano hapa. Naona style mpya ambayo risala na wasifu wa marehemu huandikwa na kusomwa mbele ya umma msibani tofauti na tulivyozoea. Hili nimeliona ndani ya kanisa Katoliki...
0 Reactions
12 Replies
14K Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Kama unakumbuka hapo awali neno maarufu lilikuwa ni utaisoma namba, ilikuwa tu ukikosea kitu na ukijichanganya kitu fulan watu walikuwa wanasema utaisoma...
3 Reactions
33 Replies
3K Views
Wazee wakulima wenzangu naomba mnisaidie hii kitu
0 Reactions
96 Replies
31K Views
Nimewahi kusikia msemo "the guilty are afraid". Naomba yeyote awezaye anipe tafsiri ya huo usemi. Na ikiwezekana, anifafanulie kwa kutoa mifano. Asanteni.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Ninasikitika sana mtanzania kumcheka mtanzania mwenzake eti hajui kiingereza huku akijua fika kiingereza nchini ni marufuku mpango huu upo kwa makusudi ili mtanzania asiwe na uelewa mpana wa elimu...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Humu JF kuna wataalamu wengi sana wanaojua vizuri English japo kuwa hawajaishi nchi zinazoongea English kama lugha ya taifa hivyo tunaweza peana mbinu za kumudu hii lugha. Mimi Kwa uzoefu wangu...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
If something has gone to the dogs, it has gone badly wrong and lost all the good things it had. Example Tanzania has gone to the dogs-Maana yake tumepoteza sifa nzuri ambazo zilitambulisha...
0 Reactions
1 Replies
709 Views
Napenda sana niweze kuongea kiingereza lakin tabu inakuja namna ya kuunga maneno ili yalete maana kama kuna mtu anaweza anisaidie maana nakosa fursa nyingi Sent using Jamii Forums mobile app
3 Reactions
19 Replies
4K Views
0 Reactions
0 Replies
835 Views
Nianze kwa Kumuombe ndugu, Mh Lisu apone haraka. Wadau naomba tukumbushane maneno ya kiswahili au yalito pata umaalufu zaidi tangu mh wetu mpendwa JPM kuteuliwa kugombe Urais. Mimi naanza na...
0 Reactions
79 Replies
8K Views
Mutabaruka – Dis Poem Lyrics This poem Shall speak of the wretched sea That washed ships to these shores Of mothers cryin for their young Swallowed up by the sea This poem shall say nothin new...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Weep not child, Weep not my darling, The ravening clouds shall not be victorious, They shall no longer posses the sky. Discuss; Who is the child? Who is the darling? Who is/are the ravening...
0 Reactions
0 Replies
871 Views
Adjective extremely suspicious and afraid of other people. Example: Republic of Zamunda leader is deeply paranoid, sees enemies all round.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu naomba tafsiri (kwa kiswahili) ya maneno/titles hizi: 1- Receptionist 2- Desktop Publisher 3- Programs Intern
0 Reactions
12 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…